John Reese
Member
- Nov 19, 2018
- 38
- 63
Naona ni siasa tu , kama ishu ni ku-certify true copy of the original,,what if uki upload cheti original chenyewe? Wont it be valid?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo ni hao mawakili na namna wanavyohakiki hivyo vyeti.Naomba ufafanuzi jamani mimi huwa sielewi.
Unapomwambia muomba ajira za serikali akahakiki vyeti kwa mwanasheria kwamba kwenye vyeti kunakuwa na SHERIA zimekosewa au wanaotoa hivyo vyeti hawaaminiki?
Au ni kuufanya mfumo uwe mgumu tu? Sio mwanasheria Mimi naomba ufafanuzi. Waangalie hizo gharama analipa nani?
Hicho ni kiapo unakula mbele ya mwanasheria ili ikija kubainika kuna shida yoyote kwenye vyeti husika uwe liable kwakuwa ulikula kiapo.Naomba ufafanuzi jamani mimi huwa sielewi.
Unapomwambia muomba ajira za serikali akahakiki vyeti kwa mwanasheria kwamba kwenye vyeti kunakuwa na SHERIA zimekosewa au wanaotoa hivyo vyeti hawaaminiki?
Au ni kuufanya mfumo uwe mgumu tu? Sio mwanasheria Mimi naomba ufafanuzi. Waangalie hizo gharama analipa nani?
Ko kule mainterview usail unaenda navyo iliiweje kama vishasainiwa na kukaguliwa,, huo ni ushamba mmoja na mfumo wa jamaa flan kujipa mamlaka kutafuna pesa za watuUkichukulia juujuu bila kufikiria kwa umakini utaona ni usumbufu mkuu.
ila uhakiki ni Kama saini yako kuthibitisha Kama Ivo vyeti ni vya kwako kweli, ni vile watu huchukulia simple tu ila kuna sehemu kabla ya kuhakiki wanathibitisha Hadi sura yako na ya kwenye passport,kumbuka Kuna vyeti feki na pia Kuna watu wanaoiba vyeti na kuvitumia..kwaio ni muhimu
Ili iweje?Mkumbushe pia kinachohakikia sio cheti halisi bali ni vivuli vya vyeti
Na vyeti vilihakikiwa ili 😄 Waafrica bnWatu wanafoji vyeti wazee ndio maana taasisi nyingi kabla hujapewa barua ya ajira wanafanya extra work juu yako kujiridhisha kwa mtoa cheti
Hio ni sawa levels ni tofauti hawakusema ukimaliza 4 yrs unapewa lesen hio hawajasema ila lesen no ya hiyo degree yako hunyimwiBora hao mtu amemaliza degree ya pharmacy amefaulu vizuri baadae unaambiwa lazima afanye mtihani wa leseni ili apate leseni yake,ukifeli mtihani wa leseni haupati leseni.
Mtu unajiuliza kama ni hivyo kulikuwa na maana gani ya kukaa darasani miaka 4 yote!!
Sio kwel 😄 ukihqkiki imeisha muhimu muhuliMuda mwingine naonaga ni siasa tu, mfano madogo wa six mtu akihakiki mwaka huu kama hakwenda chuo mwakani inatakiwa ahakiki upya, what's the point here?
Useless 😄Una wazimu ww
Inasikitisha sana mkuuUseless 😄
Kuthibitisha vivuli vilivyotoka kwenye cheti halisiIli iweje?