Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
Ukichukulia juujuu bila kufikiria kwa umakini utaona ni usumbufu mkuu.Naomba ufafanuzi jamani mm huwa sielewi unapomwambie muomba ajira za serikali akahakiki vyeti kwa mwànasheria kwamba kwenye vyeti kunakuwa na SHERIA zimekosewa au wanaotoa hivyo vyeti hawaaniniki? Au ni kuufanya mfumo uwe mgumu tu? Sio mwànasheria Mimi naomba ufafanuzi.waangalie hizo gharama analipa nani?
Oooooh sawa. Asant mkuu.Ukichukulia juujuu bila kufikiria kwa umakini utaona ni usumbufu mkuu.
ila uhakiki ni Kama saini yako kuthibitisha Kama Ivo vyeti ni vya kwako kweli, ni vile watu huchukulia simple tu ila kuna sehemu kabla ya kuhakiki wanathibitisha Hadi sura yako na ya kwenye passport,kumbuka Kuna vyeti feki na pia Kuna watu wanaoiba vyeti na kuvitumia..kwaio ni muhimu
Sawa! Huyo mwanasheria ana nyenzo gani kuthibitisha uhalali wa cheti?...Watu wanafoji vyeti wazee ndio maana taasisi nyingi kabla hujapewa barua ya ajira wanafanya extra work juu yako kujiridhisha kwa mtoa cheti
Mkumbushe pia kinachohakikia sio cheti halisi bali ni vivuli vya vyetiUkichukulia juujuu bila kufikiria kwa umakini utaona ni usumbufu mkuu.
ila uhakiki ni Kama saini yako kuthibitisha Kama Ivo vyeti ni vya kwako kweli, ni vile watu huchukulia simple tu ila kuna sehemu kabla ya kuhakiki wanathibitisha Hadi sura yako na ya kwenye passport,kumbuka Kuna vyeti feki na pia Kuna watu wanaoiba vyeti na kuvitumia..kwaio ni muhimu
Njia rahisi, kwa Taasisi wale wote ambao wamewashort list! Watume vyeti vyao kwa watoa vyeti...Mm nashauri kama unaona kuthibitisha vyeti vyako n gharama bc acha kuomba ajira
Mwanasheria anathibitisha nakala kutoka kwa vyeti halisiSawa! Huyo mwanasheria ana nyenzo gani kuthibitisha uhalali wa cheti?...
Yani watoa vyeti wakufanyie vetting ,wakati walisha malizana na wewe?Njia rahisi, kwa Taasisi wale wote ambao wamewashort list! Watume vyeti vyao kwa watoa vyeti...
Naomba ufafanuzi jamani mimi huwa sielewi.
Unapomwambia muomba ajira za serikali akahakiki vyeti kwa mwanasheria kwamba kwenye vyeti kunakuwa na SHERIA zimekosewa au wanaotoa hivyo vyeti hawaaminiki?
Au ni kuufanya mfumo uwe mgumu tu? Sio mwanasheria Mimi naomba ufafanuzi. Waangalie hizo gharama analipa nani?
Muda mwingine naonaga ni siasa tu, mfano madogo wa six mtu akihakiki mwaka huu kama hakwenda chuo mwakani inatakiwa ahakiki upya, what's the point here?Ukichukulia juujuu bila kufikiria kwa umakini utaona ni usumbufu mkuu.
ila uhakiki ni Kama saini yako kuthibitisha Kama Ivo vyeti ni vya kwako kweli, ni vile watu huchukulia simple tu ila kuna sehemu kabla ya kuhakiki wanathibitisha Hadi sura yako na ya kwenye passport,kumbuka Kuna vyeti feki na pia Kuna watu wanaoiba vyeti na kuvitumia..kwaio ni muhimu
Watoa vyeti waifanye hiyo njia kama njia ya kuingiza revenue, Taasisi/Kampuni ighalimie hizo vetting.Yani watoa vyeti wakufanyie vetting ,wakati walisha malizana na wewe?
Ukienda kuhakiki cheti unakuepo wewe na cheti chako halisi na copy yako na I'd nyingine ya utambulisho wako,,mwanasheria atahakiki na Kama ni sahihi na kutia muhuri wake,pia anaweza asiweke muhuli atapoona Kuna changamoto yoyote,maana akithibitisha hata yeye atakua matatani,,,Sawa! Huyo mwanasheria ana nyenzo gani kuthibitisha uhalali wa cheti?...
MKuu watu watalam wa hizo kazi za kuforge aisee , Mwanasheria hapo hafui dafu.Mwanasheria anathibitisha nakala kutoka kwa vyeti halisi