Naomba ufafanuzi wa dawa aina ya amitriptyline

Uliwahi itumia!? Sababu ya kuinywa ilikuwa ni nini!?
Sikuwahi tumia mkuu ,kuna namna nazifahamu dawa ,ila pia nimeona wagonjwa wengi wakitumia wanalalamika kupata ukavu choo( constipation).
 
Kwa mlikuwa mnameza dosage ilikuwaje!? Asubuhi na jioni au jioni peke yake. Na vidonge vingapi kwa siku!?
 
KUMBUKA DAWA HIO NI KOSA KUINUNUA BILA KIBALI TOKA KWA DAKTARI



HAHAHAH ILA KIBONGO BONGO WATU WANAANGALIA MAOKOTO TU UNAIPATA FRESH 3000 vidonge 10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…