TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 5,771
- 17,849
Mwaka juzi nilizitumia sana hizo dawa wakati nikiwa nasumbuliwa na maumivu makali ya nerves. Nilikua nameza hizo pamoja na pregabalin na madawa kibao ya kutuliza maumivu. Zina usingizi balaa ila tatizo lake nilikuja kuliona baada ya kumaliza dozi. Usingizi nilikua nautafuta kwa tochi kuna siku mpaka unatoboa asubuhi macho makavuu.. ilinichukua karibu miezi 6 kuanza kupata usingizi tena.