Hapana...
Duniani tuna mengi sana ya Kujifunza.
Na Elimu inabadirisha sana mtu na inamfanya awe bora zaidi.
Kila dakika tunajifunza ila haimaanishi sababu mafunzo / perceived goodness kwa jamii ni kitu fulani basi watu wote tutakuwa hicho kitu..., Case in Point the alpha maleness au labda mwanaume anahitaji kuwa mkali au hata kumpiga mwananmke (kwa case ya wakurya) ilikuwa the order of the day at a certain point in time sasa mtu ambaye deep down yeye ni caring abadilike ili tu aendane na norm ?!!!
Kuna jamii mwanaume anaweka vizuri na presentable kuna jamii mwanaume inabidi aonekane kama ametoka straight from the caves (as the saying goes caveman) sasa hapo unapokuwa jamii gani ufanye nini ili iweje ??; That's where my point comes be yourself as of now getting a partner is no longer as hard as it used to be....; Unaweza kutumia faranga, unaweza kutumia your convincing skills au unaweza ukafanya mazoezi yote uongeze libido (but I might ask you how many partners do you need ?, na hata ukipata kumi au kila unapopita wanakufuata can you satisfy them all ?, Jibu ni hapana hivyo basi be yourself and find someone who accepts or is interested with whom you are na hata ukikosa in this day and age you wont miss someone to get laid if you want to....
Hivyo ktk Maisha jitahidi sana kusoma vitu mbalimbali ambavyo vitajenga TABIA yako.
Nasoma vitu always ila sisomi vitu sababu ni be it end all..., nasoma vitu kupata different point of views sababu najua kwamba people and circumstances are different, cultures are different and someone's meat is another ones poison.. Nikienda Japan huenda nikipata partner atakuwa anapiga mpaka magoti, ila kwangu mimi taona ananizingua.., wengine they perceive roughness with being macho, wengine wanakuona wewe una-belong kwenye dark ages..., Yes kwa kusoma kwangu nitajua how to act in Japan au Caribbean lakini haimaanishi nitasuka dreads na kuanza kuongea Patwa...
Mie Tabia zangu zimejengwa na Elimu niliyonayo na sio vinasaba nilivyo navyo.
Kuna mtu amesema tabia ni fully genetic ? Ingawa unaweza ukawa na tabia fulani sababu ya genes zako, mfano kama umbo lako ni dogo na umekuwa bullied na kudharauriwa tangia mdogo lazima utakuwa na defensive traits.., kwahio huenda maisha yakakufundisho kuliko kubishana na watu wapuuze tu (that's will be better kuliko kujaribu kuwa-convince kwamba your better, its not worth your time cause in the end they might not necessarily appreciate it
Mfn ukiwa mtu wa hasira kuna mafundisho yapo ya kubadiri huo mfumo uliopo ktk hisia zako.
Hasira ni negativity ambayo ni harmful kwako kuliko hata kwa mwingine.., na nadhani hizo ni ways za kuondoa hasira which might work for majority and not for all, best way is to find what will work for you na sio what worked for Abdallah; in the end what's works for me ni kupuuza some of the things and taking it easy.... while taking wisdom from these wise words.....
serenity to accept the things I cannot change, the courage to change the things I can, and the wisdom to know the difference.
Sisi Binadam ni kama Machine zenye Hardware and Software. Software inakuwa updated mara kwa mara ili kufanikisha ufanisi wa hali ya juu kuliko ule wa Mwanzo.
What is change and what is better ? Ukishajua kwamba change is for the better or worse na definition ya better ni subjective basi huenda wewe unapotaka mtu aende sababu unadhani ni better kwake yeye kwake sio better na ni shida na akienda huko atakuwa ana-live a lie ili tu kufurahisha UMMA