Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,431
- 4,925
Wavizie na uwatoze tozo kama vipi tembeza kichapo maana usikute wengine ni wezi tu.Salama wadau,
Nina kamamiezi kadhaa toka niamie makazi yangu mapya...ila tatizo ninalokutana nalo ,wapita njia wanaomba ramani ya nyumba(nyumba bado sijaliza ukuta) pia ipo barabarani main road
Zaidi ya mara nne nimeshawatimua watu wanapiga picha nyumba bila ruksa yangu tena hapo ni weekend nikiwepo. Je, hili la kuwakatalia ramani yangu,hata ndugu zangu wa damu limekaaje??? maana dunia ya sasa haiaminiki kabisa
Ramani yako ikiangukia mikononi mwa mwizi siku akija na genge lake ndani kwako wanakuwa wenyeji, hawapati shida!
Wapi nimeandika 'wote'?Kwa hiyo wizi wote wana ramani
Huwa mnawazaje
Wapi nimeandika 'wote'?
Wanataka kukuroga. Kuwa makiniSalama wadau,
Nina kamamiezi kadhaa toka niamie makazi yangu mapya...ila tatizo ninalokutana nalo ,wapita njia wanaomba ramani ya nyumba(nyumba bado sijaliza ukuta) pia ipo barabarani main road
Zaidi ya mara nne nimeshawatimua watu wanapiga picha nyumba bila ruksa yangu tena hapo ni weekend nikiwepo. Je, hili la kuwakatalia ramani yangu,hata ndugu zangu wa damu limekaaje??? maana dunia ya sasa haiaminiki kabisa
unlikelyRamani yako ikiangukia mikononi mwa mwizi siku akija na genge lake ndani kwako wanakuwa wenyeji, hawapati shida!
Hata mimi nitahihitaji ramani yako Boss, sio kwa mabaya.Salama wadau,