Naomba ufafanuzi wa hili la Mtu kuomba Ramani ya nyumba yako

Naomba ufafanuzi wa hili la Mtu kuomba Ramani ya nyumba yako

Salama wadau,

Nina kamamiezi kadhaa toka niamie makazi yangu mapya...ila tatizo ninalokutana nalo ,wapita njia wanaomba ramani ya nyumba(nyumba bado sijaliza ukuta) pia ipo barabarani main road

Zaidi ya mara nne nimeshawatimua watu wanapiga picha nyumba bila ruksa yangu tena hapo ni weekend nikiwepo. Je, hili la kuwakatalia ramani yangu,hata ndugu zangu wa damu limekaaje??? maana dunia ya sasa haiaminiki kabisa
Hakuna Cha ufafanuzi ni upuuzi tuu
 
Tanzania yetu hii kuna watu wanapenda sifa za kijinga [emoji276]
 
Back
Top Bottom