Naomba ufafanuzi wa hili la Mtu kuomba Ramani ya nyumba yako

Itakuwa ni nzuri na mtu kuomba raman sio jambo baya ..kawaida wengi wana uza hapo una patamo hata pesa za kidogo
Sio kidogo, anaweza rudisha alizonunulia, apunguze dharau kwa wapita njia, yaweza kuwa wana pesa kumzidi
 
Hakuna Cha ufafanuzi ni upuuzi tuu
 
Tanzania yetu hii kuna watu wanapenda sifa za kijinga [emoji276]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…