Naomba ufafanuzi wa kiwanja cha ukubwa wa 30 kwa 30

Naomba ufafanuzi wa kiwanja cha ukubwa wa 30 kwa 30

Hicho ni sqm 900
Liwanja chochote kuanzia sqm 600 ni kikubwa hicho na kwa ajili ya makazi kinafaa sana sana
Kwa mfano rahisi unaweza kadiria uwanja wa nyumba 2 za national housing kama za migomigo au kinondoni

Ova
 
Una miaka mingap kwanza?,kama unashindwa kuelewa uwanja wa ukubwa wa 30 kwa 30,halaf nikuulize ni kwa mita au ft?
 
Kiwanja cha mita 18×18 ukijenga nyumba ya mita14×13 itakuwa sawa kweli? Au ndo mbanano.
 
Back
Top Bottom