Naomba ufafanuzi wa kiwanja cha ukubwa wa 30 kwa 30

Naomba ufafanuzi wa kiwanja cha ukubwa wa 30 kwa 30

Kiuhalisia ni kikubwa mnoooo, ila kijf ni kidogo sana ni mahali pa kujenga banda la mbwa tu....

Hahah...kiuhalisia sio kikubwa mnoooo...ni ukubwa wa kawaida tu...nyumba itakaa...parking itakuwepo kama ana gari...mbogamboga atalima pia na hewa itakuwepo hata akiweka fensi

Nadhani katika yale madaraja ya viwanja vya makazi za watu wa ardhi, ukubwa huo ni medium
 
Kiwanja chaukubwa was 30 kwa 30 nikikubwa? Kunamdaa amenitafutia kiwanja nilivyo uliza ukubwa akasema 30/30
Sasa bro inamaana wewe hata huelewi hiyo maana ake nini?
Ungeweza kufanya hata majaribio tu hapo ulipo ukaona huo ukubwa walau unafanaje.
Hizi shule zetu ni changamoto sana.
 
Kiwanja chaukubwa was 30 kwa 30 nikikubwa? Kunamdaa amenitafutia kiwanja nilivyo uliza ukubwa akasema 30/30
Hicho unajenga nyumba yako ya makazi, unajenga na nyumba ya kupangisha hata apartments tatu. Unabakiza na eneo la kulima nyanya na mchicha na Banda la kufugia kuku.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom