Heron's formula kwani sio rahis kukuta kiwanja iko kwenye square perce. ila kimazoea "urefu mara upana."Kiwanja chaukubwa was 30 kwa 30 nikikubwa? Kunamdaa amenitafutia kiwanja nilivyo uliza ukubwa akasema 30/30
Sababu humu kila mtu ana ma plot makubwa makubwa...Kiuhalisia ni kikubwa mnoooo, ila kijf ni kidogo sana ni mahali pa kujenga banda la mbwa tu....
Shem 30*30 si unajenga banda la njiwa tu?😁Sababu humu kila mtu ana ma plot makubwa makubwa...
Heheheh punguza ukorofi shem...
Unajenga nyumba kubwa haswa... na kakota kake kwa nyuma...Shem 30*30 si unajenga banda la njiwa tu?😁
Hapana nusu heka ni 70 *35Icho kiwanja ni sawa na nusu heka. Maana heka 70×70, sasa wewe 30×30 huoni ni approximately sawa na nusu ya heka 1
Sawa- nusu EKA siyo HEKA - ni 70*35 ambayo ni sawa na 2450 square meters na ya 30*30 ni 900 square meters! OK neno EKA limetoka kwenye neno ACRE la Kiingereza.Hapana nusu heka ni 70 *35
Kiuhalisia ni kikubwa mnoooo, ila kijf ni kidogo sana ni mahali pa kujenga banda la mbwa tu....
Icho kiwanja ni sawa na nusu heka. Maana heka 70×70, sasa wewe 30×30 huoni ni approximately sawa na nusu ya heka 1
Weee hesabu za wapi hizo?
Yaani unagawanya area kama unagawanya length?
KiJF inatakiwa eka nzima, maana ni maapatimenti mengi tuKiuhalisia ni kikubwa mnoooo, ila kijf ni kidogo sana ni mahali pa kujenga banda la mbwa tu....
Sasa bro inamaana wewe hata huelewi hiyo maana ake nini?Kiwanja chaukubwa was 30 kwa 30 nikikubwa? Kunamdaa amenitafutia kiwanja nilivyo uliza ukubwa akasema 30/30
Kwa kuwa jf watu viwanja vyao ni 100 kwa 120 si ndio mpwa 🤣🤣🤣?!Kiuhalisia ni kikubwa mnoooo, ila kijf ni kidogo sana ni mahali pa kujenga banda la mbwa tu....
Hicho unajenga nyumba yako ya makazi, unajenga na nyumba ya kupangisha hata apartments tatu. Unabakiza na eneo la kulima nyanya na mchicha na Banda la kufugia kuku.Kiwanja chaukubwa was 30 kwa 30 nikikubwa? Kunamdaa amenitafutia kiwanja nilivyo uliza ukubwa akasema 30/30