Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakatwa NSSF asilimia ngapiNaomba wadau mnijuze Mimi npo daraja E napokea basic salary 940000 je asilimia hiyo moja iliyopunguzwa na Mheshimiwa Rais ni kama shilingi ngapi ambayo ntakuta ongezeko katika mshahara wa mwezi huu?
So 10% kama kawaida mkuuUnakatwa NSSF asilimia ngapi