Naomba ufafanuzi wa makato ya PAYE katika kiwango hiki cha mshahara

Naomba ufafanuzi wa makato ya PAYE katika kiwango hiki cha mshahara

Tprecious

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2018
Posts
256
Reaction score
342
Naomba wadau mnijuze Mimi npo daraja E napokea basic salary 940000 je asilimia hiyo moja iliyopunguzwa na Mheshimiwa Rais ni kama shilingi ngapi ambayo ntakuta ongezeko katika mshahara wa mwezi huu?
 
Naomba wadau mnijuze Mimi npo daraja E napokea basic salary 940000 je asilimia hiyo moja iliyopunguzwa na Mheshimiwa Rais ni kama shilingi ngapi ambayo ntakuta ongezeko katika mshahara wa mwezi huu?
Unakatwa NSSF asilimia ngapi
 
wewe msaidie kama unafahamu, makato yote kwenye mshahara yako katika %
 
e1.940000 katika kugawanya na 0.1 ya increment ile ya 10%hapo unabid uzidishe grosss yako uigawe na 10 ambyobutapata i sh 9400

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom