Matope JF-Expert Member Joined Apr 29, 2009 Posts 892 Reaction score 683 Jun 13, 2023 #1 Habari wakuu naona kuna utitili wa hizi xtrail new model mjini hapa Dar tafadhari naomba kujua kama na zenyewe zina changamoto kama ya zile za mwanzo! Nataka kujitwisha Consumption ya mafuta ikoje?
Habari wakuu naona kuna utitili wa hizi xtrail new model mjini hapa Dar tafadhari naomba kujua kama na zenyewe zina changamoto kama ya zile za mwanzo! Nataka kujitwisha Consumption ya mafuta ikoje?
Mtukutu wa Nyaigela JF-Expert Member Joined Sep 4, 2018 Posts 8,013 Reaction score 14,263 Jun 13, 2023 #2 2008 ndo mpya aisee
Ulongupanjala JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 8,273 Reaction score 13,567 Jun 13, 2023 #3 Mtukutu wa Nyaigela said: 2008 ndo mpya aisee Click to expand... Kibongobongo ndio mpya hiyo. Bongo gari nyingi ni za 2000 kurudi nyuma hadi 1950.
Mtukutu wa Nyaigela said: 2008 ndo mpya aisee Click to expand... Kibongobongo ndio mpya hiyo. Bongo gari nyingi ni za 2000 kurudi nyuma hadi 1950.
kizaizai JF-Expert Member Joined Mar 31, 2010 Posts 5,651 Reaction score 6,966 Jun 14, 2023 #4 Ulongupanjala said: Kibongobongo ndio mpya hiyo. Bongo gari nyingi ni za 2000 kurudi nyuma hadi 1950. Click to expand... Gari ya 1950 ni gharama sana kuinunua.
Ulongupanjala said: Kibongobongo ndio mpya hiyo. Bongo gari nyingi ni za 2000 kurudi nyuma hadi 1950. Click to expand... Gari ya 1950 ni gharama sana kuinunua.
PureView zeiss JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 10,786 Reaction score 35,916 Jun 14, 2023 #5 Mtukutu wa Nyaigela said: 2008 ndo mpya aisee Click to expand... Tanzania tunaita new model kwahiyo jamaa yupo sahihi kabisaa
Mtukutu wa Nyaigela said: 2008 ndo mpya aisee Click to expand... Tanzania tunaita new model kwahiyo jamaa yupo sahihi kabisaa