Asante kiongozi nimekusoma..guest n kwaajil ya siku kadhaa huku nikiwa natafta chumba cha kupangaMimi nilikuwa mteja wa mining nice, ligula B, Chuno,raha Leo pazuri, gesti zipo nyingi nakushauri upande Magari ya asbh SAA 12 utafika SAA 7 mchana.Gesti itategemea unataka kufanya shughuli gani?
Mwanzoni unaweza usipaelewe vizuri,hiyo ni common kwa wageni wengi,kwa sababu unlike miji mingi,Mtwara imetawanyika eneo kubwa na gap ni kubwa,haujajibana na kwa hiyo maeneo yapo mengi kwa hadhi ya miji mingi mikubwa ya wastani. Yaani hakuna eneo ambalo ni la kipekee sana. Lakini ukishakaa na kuuzunguka mji,kiukweli ni moja ya miji ambayo ilipangwa,ina maeneo mengi ya kuzungukia. Kuanzia Ferry,bandarini,Beach tofauti tofauti,Mikindani. Ukipenda muingiliano nenda Mnarani,Bima,Maduka Makubwa,Stendi /Soko kuu,Nkana led(soma Nkana Red Devils). Ukitaka sehemu tulivu nenda Naf Beach,BNN Royal Palm,Cashew Hotel,Naf Apartments,Old Boma!Asante kwa maelezo yko mazuri
Dah asante sana.mpaka nimehisi tayari nshafika mtwara.nitafanyia kazi ushauri wakoMwanzoni unaweza usipaelewe vizuri,hiyo ni common kwa wageni wengi,kwa sababu unlike miji mingi,Mtwara imetawanyika eneo kubwa na gap ni kubwa,haujajibana na kwa hiyo maeneo yapo mengi kwa hadhi ya miji mingi mikubwa ya wastani. Yaani hakuna eneo ambalo ni la kipekee sana. Lakini ukishakaa na kuuzunguka mji,kiukweli ni moja ya miji ambayo ilipangwa,ina maeneo mengi ya kuzungukia. Kuanzia Ferry,bandarini,Beach tofauti tofauti,Mikindani. Ukipenda muingiliano nenda Mnarani,Bima,Maduka Makubwa,Stendi /Soko kuu,Nkana led(soma Nkana Red Devils). Ukitaka sehemu tulivu nenda Naf Beach,BNN Royal Palm,Cashew Hotel,Naf Apartments,Old Boma!
Kumbuka,Mtwara napo kuna taa za kishkaji za kuongozea magari. So siyo haba. Ukipazoea,ni mji mzuri wenye pilika. Ukiweza kutohoa biashara fulani ambazo ziko mikoa mingine,ukafanya ubunifu,nakuhakikishia unatoka vizuri tu. Kipindi cha msimu,ndo balaa mzunguko na biashara huwa zina masoko sana. Cha msingi fanya research ya kutosha kujua biashara gani ubebe. Uzuri wake Mtwara kuna gari kila baada ya saa 1, kuanzia saa12 asubuhi hadi saa8au 9 jioni(hiyo ni kila upande yaani Dar au Mtwara) ,kwa hiyo link Mtwara na Dar iko poa sana. Ni mwendo mdundo. Nenda kacheki fursa,ucustomise hali utakayoikuta na uitengenezee kuwa fursa. Asikudanganye mtu,utatoka tu.
Litingi? La Sindiba Disco kule Ufukwen karibu na Mikindani? Kule mkuu mbona unampeleka mbali sana zaidi ya kilometa 8 kutoka Mjini kati. Ofcourse ni maeneo tulivu unakula upepo mwanana wa baharini. Lakini namshauri mdau aanzie Ligula ua Rahaleo au Chuno,India Quarters au Kiyangu karibu na TTC.Nenda kapange Litingi mzee pazuri sana
Poa,unaenda hivi karibuni au kesho?Dah asante sana.mpaka nimehisi tayari nshafika mtwara.nitafanyia kazi ushauri wako
Na mm nimepata aidia hapa[emoji115]Mwanzoni unaweza usipaelewe vizuri,hiyo ni common kwa wageni wengi,kwa sababu unlike miji mingi,Mtwara imetawanyika eneo kubwa na gap ni kubwa,haujajibana na kwa hiyo maeneo yapo mengi kwa hadhi ya miji mingi mikubwa ya wastani. Yaani hakuna eneo ambalo ni la kipekee sana. Lakini ukishakaa na kuuzunguka mji,kiukweli ni moja ya miji ambayo ilipangwa,ina maeneo mengi ya kuzungukia. Kuanzia Ferry,bandarini,Beach tofauti tofauti,Mikindani. Ukipenda muingiliano nenda Mnarani,Bima,Maduka Makubwa,Stendi /Soko kuu,Nkana led(soma Nkana Red Devils). Ukitaka sehemu tulivu nenda Naf Beach,BNN Royal Palm,Cashew Hotel,Naf Apartments,Old Boma!
Kumbuka,Mtwara napo kuna taa za kishkaji za kuongozea magari. So siyo haba. Ukipazoea,ni mji mzuri wenye pilika. Ukiweza kutohoa biashara fulani ambazo ziko mikoa mingine,ukafanya ubunifu,nakuhakikishia unatoka vizuri tu. Kipindi cha msimu,ndo balaa mzunguko na biashara huwa zina masoko sana. Cha msingi fanya research ya kutosha kujua biashara gani ubebe. Uzuri wake Mtwara kuna gari kila baada ya saa 1, kuanzia saa12 asubuhi hadi saa8au 9 jioni(hiyo ni kila upande yaani Dar au Mtwara) ,kwa hiyo link Mtwara na Dar iko poa sana. Ni mwendo mdundo. Nenda kacheki fursa,ucustomise hali utakayoikuta na uitengenezee kuwa fursa. Asikudanganye mtu,utatoka tu.
Haya maeneo ya kujidai au lodge tu mkuu?Panda basi lolote la asubuhi kama Buti la Zungu,Maning Nice,Shabiby,Tashriff na Machinga yote ya asubuhi.
Mtwara sehem ambazo ziko moderate ni Rahaleo,Ligula,Railway na Chikongola.
Lodge zipo kibao ushindwe mwenyewe
Ni maeneo ambayo kwa mgeni anaweza kuchukua chumba au nyumba kwa ajili ya kupanga kwa sababu yapo jiran na uelekeo wa maeneo mengi ya mji.Baada ya kuuzoea mji unaweza kutafuta maeneo mengine hata mbali,ila kwa kuanzia tafuta nyumba Ligula,Rahaleo,Nandope,Pentecoste(Cocobeach),Kiyangu-TTC,Mangowela,kutaja maeneo machache.Haya maeneo ya kujidai au lodge tu mkuu?
Ni maeneo mazuri lakini mkuu usisahau kumuweka wazi hayo maeneo vyumba ni ghali na si rahisi kupata kirahisi kwa kuanzia atafute magomeni , chikongola au sabasaba na kama anapenda room za hadhi ajipange Shangani na Chuno kuna apartment kali sanaNi maeneo ambayo kwa mgeni anaweza kuchukua chumba au nyumba kwa ajili ya kupanga kwa sababu yapo jiran na uelekeo wa maeneo mengi ya mji.Baada ya kuuzoea mji unaweza kutafuta maeneo mengine hata mbali,ila kwa kuanzia tafuta nyumba Ligula,Rahaleo,Nandope,Pentecoste(Cocobeach),Kiyangu-TTC,Mangowela,kutaja maeneo machache.
Karibu Mtwara Mji wa kipekee ambao wasiowahi kufika wamedanganywa sanaNaenda jumapili ya wiki hii