barwizy
Member
- Nov 9, 2016
- 10
- 4
Heshima yenu wadau.
Natarajia kwenda kuanza maisha Mtwara, naomba kujuzwa gari lenye huduma za kuridhisha na gharama affordable nikiwa natokea Dar.
Lodge, gesti ambayo ina mazingira salama na rafiki lakini bei yake isizidi 15,000 kwa gesti na 20000 kwa lodge. Naomba kujuzwa mitaa ambayo ina vyumba vya bei rahisi, na maeneo ambayo gharama za maisha hazipo juu.
Natanguliza shukrani.