Ni kweli tupu mkuu. Kistratejia,mji wa Mtwara kama serikali ingewekeza zaidi,ingepata return on investment kubwa kuliko hata miji mingi Tanzania(sorry to say hata Dodoma kwa mfano haiujakaa kistratejia kiuchumi na miji mingine)! Tatizo la Mtwara kwa kuwa ilikosa miundombinu huko nyuma,mji ulikosa kujulikana. Lakini uwepo wa babdari,airport kubwa kwa kiasi unmeiboost Mtwara.
Kama corridor ile ya Mtwara ingefufuliwa ikiwa na miundombinu yote hadi Malawi,Liganga au Mchuchuma,hali ingekua nzuri zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama corridor ile ya Mtwara ingefufuliwa ikiwa na miundombinu yote hadi Malawi,Liganga au Mchuchuma,hali ingekua nzuri zaidi.
Karibu Mtwara Mji wa kipekee ambao wasiowahi kufika wamedanganywa sana
Hutajuta ni miongoni mwa miji mizuri Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app