Naomba ujuzwa yafuatayo Mtwara

Naomba ujuzwa yafuatayo Mtwara

Ni kweli tupu mkuu. Kistratejia,mji wa Mtwara kama serikali ingewekeza zaidi,ingepata return on investment kubwa kuliko hata miji mingi Tanzania(sorry to say hata Dodoma kwa mfano haiujakaa kistratejia kiuchumi na miji mingine)! Tatizo la Mtwara kwa kuwa ilikosa miundombinu huko nyuma,mji ulikosa kujulikana. Lakini uwepo wa babdari,airport kubwa kwa kiasi unmeiboost Mtwara.
Kama corridor ile ya Mtwara ingefufuliwa ikiwa na miundombinu yote hadi Malawi,Liganga au Mchuchuma,hali ingekua nzuri zaidi.
Karibu Mtwara Mji wa kipekee ambao wasiowahi kufika wamedanganywa sana
Hutajuta ni miongoni mwa miji mizuri Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni maeneo mazuri lakini mkuu usisahau kumuweka wazi hayo maeneo vyumba ni ghali na si rahisi kupata kirahisi kwa kuanzia atafute magomeni , chikongola au sabasaba na kama anapenda room za hadhi ajipange Shangani na Chuno kuna apartment kali sana
Kwani kwa sasa vyumba kwa wastani ni bei gani kwa maeneo mengi hapo?
Nasikia jana mvua ilipiga hadi nyumba kuzingirwa,mambo hayo zamani zile miaka ya 90 mbona hayakuwepo Mtwara?!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibu sana mtwara utashangaa mengi kimaisha huku
Utakuw karibu na bahari lakn samaki n ghali
Maisha ni ghali na jua ni kali

Kitu chepec ni wanawake wa Mtwara tuu ndio cheaper

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu vipi ulifanikiwa kutoboa mtwara?
Heshima yenu wadau.

Natarajia kwenda kuanza maisha Mtwara, naomba kujuzwa gari lenye huduma za kuridhisha na gharama affordable nikiwa natokea Dar.

Lodge, gesti ambayo ina mazingira salama na rafiki lakini bei yake isizidi 15,000 kwa gesti na 20000 kwa lodge.

Naomba kujuzwa mitaa ambayo ina vyumba vya bei rahisi, na maeneo ambayo gharama za maisha hazipo juu.

Natanguliza shukrani.
 
Kuna lodge nililala iko Ligula road..ziko kibao,bei elfu 30 iko karibu na uwanja wa Nagwanda.
 
Back
Top Bottom