Mkuu heshima yako, naona umeongelea seals la focus kwenye zao moja ili kujenga ubobezi lakini upande mwingine unaongelea kwamba unalima mazao mengine mengi ukiacha kitunguu.
Upo sahihi kuhusu focus lakini diversification nayo ni muhimu sababu Kama ilivyosema kuwa soko haliweleweki bongo ndio maana inabidi ulime mazao mengine ili kufidia yake ambayo hauto pata faida sababu ya soko kuwa baya
Nimependa maamuzi yako ya kwenda kuwa dalali, it was a very smart move. Ngoja tumsubiri
ONTARIO pengine atatupa una na Wa kwenda kuuza kitunguu Kenya maana hata Mimi nimemuuliza lkn hajajibu
Mwisho
1. naomba unisaidie pale mabibo ni miezi gani kitunguu maji kinakuwa adimu?
2. Ukiacha mabibo wapi kwengine ulikuwa unauza mzigo?