Naomba uniulize chochote kuhusu kufanikiwa katika Biashara na Ujasiriamali

ONTARIO alishaacha kutumia hiyo ID siku nyingi sana.. Na wengi wanamfaham humu JF kwa mambo ya forex,, wewe umejiunga JF hiv karibuni au?????
Hapana ila huku ujasiria mali nilikuwa situpi jicho langu ina maana huyu brother Onta amesepa au
 
Ina maana hichi kilimo ni usanii tu ,dah mbona watu sio wa kweli .DONT TRUST ANY BODY.
Kilimo alikuwa anafanya (Sirjeff Agrifriend solution) na ameshinda tuko kazaa za ujasiriamali kama ANZISHA PRIZE... Huku Jf aliwaletea fursa ya forex watu wakaingia kichwakichwa wakapoteza hela ndo hapo lawama za kwamba amewatapeli zikaanzia... Kiujumla mambo ya forex sio kwa kila mtu,,,,
 
Mimi siko kwenye FOREX na siamini huko ni kipigo cha mbwa koko .
 
Back
Top Bottom