Naomba uniulize chochote kuhusu kufanikiwa katika Biashara na Ujasiriamali

Naomba uniulize chochote kuhusu kufanikiwa katika Biashara na Ujasiriamali

Jamaa alikuwa anawaingiza watu kwenye 18 ili waingie wazimawazima Hahahahahaa,Ameanza na kuku 50 kisha mpaka kuzalisha kuku maelfu kwa mwezi hahahaaa,hapo hapo ana ekari 48 kapanda mahindi mara kabichi hahahaaaa.
Hutofanikiwa kwa throughout zako kama hauna ubongo kichwani, mwenzio anaendelea weunabaki na chuki tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera sana Mkuu unaweza kutusaidia taratibu na njia za kufuata ili kujiunga na FOREX maana naona itakua njia nyepesi kwa vijana kunyanyuka katika kufikia malengo yetu ya kila siku(Kama utaweza kutusaidia Link ya Web inayohusika na Mambo ya FOREX itakua vyema sana) Asante
Basi bwana, picha ndo likaanzia hapa![emoji39]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja sana Mkuu sirjeff unajua sana kuhusu biashara najifunza mengi sana kwako
 
Watu hamsahau. Hahaa jamani wabongo tunapenda sana kupiga hela bila jasho. Kuna jamaa yng, nilikutana nae humu humu JF tangu 2013. Nilimpa majukumu ya kufatilia taratibu za forex business kwa hapa Bongo, lkn BoT ni kikwazo kikubwa sana. But nikianza kusaka hizo papers mimi km mimi kitaeleweka tuu.

Office space nishapata Posta, vijana wanaFurnish. Nimeshapata trainers wa3 kutoka SA ambao ndio watakua wanafanya trainings kwa wanafunzi. Pia nimeshaingia makubaliano na Brokerage company na bank ya FNB. So let's see tutafika wapi.
Mwamba hakuanzisha uzi kwa bahati mbaya [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Namkubali sana huyu jamaa, yeye tayari alikuwa keshajua wateja wake wa FXatawatoa wapi na kwa njia gani.

Kaenda south katafuta maticha, kaenda posta kapata lengo, kaenda BoT kapata kibali hatua ya mwisho ilikuwa ni huu uzi

He is a genius
 
Back
Top Bottom