Hammy Js
JF-Expert Member
- Sep 20, 2017
- 3,054
- 3,263
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hutofanikiwa kwa throughout zako kama hauna ubongo kichwani, mwenzio anaendelea weunabaki na chuki tu.Jamaa alikuwa anawaingiza watu kwenye 18 ili waingie wazimawazima Hahahahahaa,Ameanza na kuku 50 kisha mpaka kuzalisha kuku maelfu kwa mwezi hahahaaa,hapo hapo ana ekari 48 kapanda mahindi mara kabichi hahahaaaa.
Siwezi kuendelea kwa kufanya UTAPELI,Dhuluma kwangu ni Mwiko natafuta fedha kihalali,SI entertain MATAPELi.Hutofanikiwa kwa throughout zako kama hauna ubongo kichwani, mwenzio anaendelea weunabaki na chuki tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi bwana, picha ndo likaanzia hapa![emoji39]Hongera sana Mkuu unaweza kutusaidia taratibu na njia za kufuata ili kujiunga na FOREX maana naona itakua njia nyepesi kwa vijana kunyanyuka katika kufikia malengo yetu ya kila siku(Kama utaweza kutusaidia Link ya Web inayohusika na Mambo ya FOREX itakua vyema sana) Asante
[emoji38][emoji38]
Unauza jumla au una kibanda binafisiMkuu Mimi nimeamua kujiajiri kwa kufanya biashara ya Mchele, mchele nautoa kahama na kuleta Moshi, nimeanza na tani 1, na pia nimefanikiwa kufungua frame naomba unipe mbinu gani niitumie ili niuze Mchele wangu kwa uharaka zaidi?,
Mwamba hakuanzisha uzi kwa bahati mbaya [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Watu hamsahau. Hahaa jamani wabongo tunapenda sana kupiga hela bila jasho. Kuna jamaa yng, nilikutana nae humu humu JF tangu 2013. Nilimpa majukumu ya kufatilia taratibu za forex business kwa hapa Bongo, lkn BoT ni kikwazo kikubwa sana. But nikianza kusaka hizo papers mimi km mimi kitaeleweka tuu.
Office space nishapata Posta, vijana wanaFurnish. Nimeshapata trainers wa3 kutoka SA ambao ndio watakua wanafanya trainings kwa wanafunzi. Pia nimeshaingia makubaliano na Brokerage company na bank ya FNB. So let's see tutafika wapi.
Daktari unabiashara gani mkuuNaombeni mkopo nikuze biashara yangu
McheleDaktari unabiashara gani mkuu