Resurrection
JF-Expert Member
- Jun 8, 2020
- 952
- 1,267
Hapana ila huku ujasiria mali nilikuwa situpi jicho langu ina maana huyu brother Onta amesepa auONTARIO alishaacha kutumia hiyo ID siku nyingi sana.. Na wengi wanamfaham humu JF kwa mambo ya forex,, wewe umejiunga JF hiv karibuni au?????
Nop ,ila ujasiria mali ni mgeni.Wewe utakuwa mgeni mjini eeh
Alipiga hela za forex akakimbilia instagram, mara youtube... Sasa hv yupo sana twitterHapana ila huku ujasiria mali nilikuwa situpi jicho langu ina maana huyu brother Onta amesepa au
Ina maana hichi kilimo ni usanii tu ,dah mbona watu sio wa kweli .DONT TRUST ANY BODY.Alipiga hela za forex akakimbilia instagram, mara youtube... Sasa hv yupo sana twitter
Kilimo alikuwa anafanya (Sirjeff Agrifriend solution) na ameshinda tuko kazaa za ujasiriamali kama ANZISHA PRIZE... Huku Jf aliwaletea fursa ya forex watu wakaingia kichwakichwa wakapoteza hela ndo hapo lawama za kwamba amewatapeli zikaanzia... Kiujumla mambo ya forex sio kwa kila mtu,,,,Ina maana hichi kilimo ni usanii tu ,dah mbona watu sio wa kweli .DONT TRUST ANY BODY.
Mimi siko kwenye FOREX na siamini huko ni kipigo cha mbwa koko .Kilimo alikuwa anafanya (Sirjeff Agrifriend solution) na ameshinda tuko kazaa za ujasiriamali kama ANZISHA PRIZE... Huku Jf aliwaletea fursa ya forex watu wakaingia kichwakichwa wakapoteza hela ndo hapo lawama za kwamba amewatapeli zikaanzia... Kiujumla mambo ya forex sio kwa kila mtu,,,,
Wenyewe wanaita kudownload pesa😂😂😂... Sema ONTARIO yule jamaa ni kichwa sana.Mimi siko kwenye FOREX na siamini huko ni kipigo cha mbwa koko .