KERO Naomba uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili uondoe CCTV Camera zilizowekwa chooni

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Sio haki kuweka CCTV Camera kwenye maeneo kama chooni na bafuni, iko hivyo duniani kote.
 
Duh, we ndo wale wa dk Moja na nusu mna scream "aghhhhh" then mnasema "thanks my girl"🥲 what the faaaaaaaak meeen!!!!!!!
Naomba dawa mamaa mana ht hy dkk na nusu haifiki nakuwa nshamaliza hadi kuvaa nguo
 
Tukubaliane: Acheni kuiba koki na kuchafua vyoo ili tuondoe hizo Camera.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…