KERO Naomba uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili uondoe CCTV Camera zilizowekwa chooni

KERO Naomba uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili uondoe CCTV Camera zilizowekwa chooni

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Haki ya faragha
Zinaangalia wagonjwa waweza zidiwa huko chooni wakahitaji huduma ya dharura

Wewe Mtu mzima unafuata Nini kwenye vyoo vya wagonjwa

Wagonjwa aweza zimia huko chooni unafikiri hospitali watajuaje bila kamera?
 
Wanataka kurekodi nini?
Wanafuatilia wagonjwa wao Hadi vyooni kujua Hali zao na kama wako salama huko vyooni

Mtu mzima kajisaidie kwenu achana na vyoo vya wagonjwa

Yaani Mtu mzima unaenda hospitali kwenda kujisaidia hata Haya huna loo kajisaidie kwenu
 
Naam mimi huwa naumizwa na tabia ya kubeza maumbile ya mtu huku anaebeza akijua kabisa huyo mtu hakujiumba. Kiuhalisia hakuna kitu kama kibamia, bali ni baadhi ya wadada kutumia vitu visivyo asili katika kujiridhisha kingono, na hivyo kutoridhishwa na maumbile ya asili ya mwanaume.
Upo sahihi mkuu.
 
Ifike hatua wabongo tuwe wastaarabu pia, sasa unang'oa koki ili kiwe nini ndo maana watu wakaona suluhisho ni kuweka kamera, ukishindwa kujiheshimu hakuna ambaye atakuheshimu.
 
Back
Top Bottom