KERO Naomba uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili uondoe CCTV Camera zilizowekwa chooni

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Huyo professor janabi anayetulazimisha Kila siku tule karanga ndiyo katuwekea camera chooni ili iweje?
 
Kama ni kweli ipo itolewe ni si vyema kufanya ivyo na wakigoma ishitakiwe muhimbili kwa kufanya ivyo over
 
???????
 
Nimegundua kwanini juma lililopita nilikuwa hapo ,Kuna daktari hatuelewani miaka mingi Ila shida niliyokuwa nayo ilikuwa lazima niende ofisini kwake ,nashangaa nafika pale mtu anakenuakenua as if tumeshamaliza ugomvi wetu kumbe nilivyoenda maliwato alikaona kakibamia kangu .
🀦
 
Ukiingia we funika na kitambaa. Kizito tu au gundi kwisha habari yao
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚β€οΈ
 
Ukizidiwa huko nani atajua na kukupa msaada wa haraka, kumbuka kuna nyakati unatumia nguvu za ziada mpaka unapata kizunguzungu.
 
Sijabeza mkuu, huenda labda nia ni hiyo, labda, inaweza isiwe hivyo mkuu.
Naam mimi huwa naumizwa na tabia ya kubeza maumbile ya mtu huku anaebeza akijua kabisa huyo mtu hakujiumba. Kiuhalisia hakuna kitu kama kibamia, bali ni baadhi ya wadada kutumia vitu visivyo asili katika kujiridhisha kingono, na hivyo kutoridhishwa na maumbile ya asili ya mwanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…