KERO Naomba uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili uondoe CCTV Camera zilizowekwa chooni

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Haki ya faragha
Zinaangalia wagonjwa waweza zidiwa huko chooni wakahitaji huduma ya dharura

Wewe Mtu mzima unafuata Nini kwenye vyoo vya wagonjwa

Wagonjwa aweza zimia huko chooni unafikiri hospitali watajuaje bila kamera?
 
Wanataka kurekodi nini?
Wanafuatilia wagonjwa wao Hadi vyooni kujua Hali zao na kama wako salama huko vyooni

Mtu mzima kajisaidie kwenu achana na vyoo vya wagonjwa

Yaani Mtu mzima unaenda hospitali kwenda kujisaidia hata Haya huna loo kajisaidie kwenu
 
Upo sahihi mkuu.
 
Ifike hatua wabongo tuwe wastaarabu pia, sasa unang'oa koki ili kiwe nini ndo maana watu wakaona suluhisho ni kuweka kamera, ukishindwa kujiheshimu hakuna ambaye atakuheshimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…