Naomba ushauri: Alijua ni bikira lakini alipojaribu hakukuta kitu

Umefikiria nini kujiita Rocco Siffredi?
 
Mmmh mbona akikaa muda mref hata kama kazaa inabana sana! Kwamba kuna naturally mashine kubwa? hapana. Matumizi ya mara kwa mara na kupitisha ma grader na ma skaveta.
 
Dunia hii🙇
 
Cc Mzee wa kupambania aine kwenye jalada.
Wao wanawake huwa wana standards za wanaume wanaotaka labda awe na kibunda ana kazi nzuri n.k

Na kama haujakidhi hivyo vigezo mwanamke huwa hana huruma anakupiga chini

Ndivyo jamaa naye kaweka standard anataka mwanamke bikira afanye naye maisha

Kama sio bikira naye ampige chini malaya huyo

The game is brutal, but still fair!
 
Mmmh mbona akikaa muda mref hata kama kazaa inabana sana! Kwamba kuna naturally mashine kubwa? hapana. Matumizi ya mara kwa mara na kupitisha ma grader na ma skaveta.
Katika Hali ya kawaida size ni kama mdomo tu ukila unafungua ukimeza unafunga
 
Sawa mtaalamu ko Bikira ya maji hakun

Uwakika kama ndo kigezo kikuu chake na mwanamke alisema hivo na wakakubaliana

APIGE CHINI MARA MOJA
 
Katika Hali ya kawaida size ni kama mdomo tu ukila unafungua ukimeza unafunga
haiwez kubwa kama haitumiki kiongozi ndo nachosema apa, niko wrong? Ata awe kazaa watoto 4 af akae miaka miwili inakuaje
 
imenitesa sana hii kutafuta bikra na watu wakijua una hyo Obsession utakula vya mbavu

Malaya wanao gonga bila kuzitafuta ndo wanakutana nazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…