Chiferereji Cha jisatu
Senior Member
- Mar 13, 2023
- 101
- 212
- Thread starter
- #41
😂😂😂🤭🤭imenitesa sana hii kutafuta bikra na watu wakijua una hyo Obsession utakula vya mbavu
Malaya wanao gonga bila kuzitafuta ndo wanakutana nazo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂🤭🤭imenitesa sana hii kutafuta bikra na watu wakijua una hyo Obsession utakula vya mbavu
Malaya wanao gonga bila kuzitafuta ndo wanakutana nazo
Uhakika mm ntamwmbia Achukue hatua mwenyeweWao wanawake huwa wana standards za wanaume wanaotaka labda awe na kibunda ana kazi nzuri n.k
Na kama haujakidhi hivyo vigezo mwanamke huwa hana huruma anakupiga chini
Ndivyo jamaa naye kaweka standard anataka mwanamke bikira afanye naye maisha
Kama sio bikira naye ampige chini malaya huyo
The game is brutal, but still fair!
Naongelea kuongezeka kisa wanaume wengi sio kuzaa elewa bachaiwez kubwa kama haitumiki kiongozi ndo nachosema apa, niko wrong? Ata awe kazaa watoto 4 af akae miaka miwili inakuaje
Fuatilia vitu vizuri sio story za vijiweniWeweeee!
Kakuambia nani?
Bado ndoo semister ya pili inaanza...Vyuo mmefunga au?
We we we funga bakuli lako JokajeusiBikra kavu zipo. Kuna ke hawana hymen
Labda jamaa kasusiwa mwaka ili aliwe hela
Ila yote kwa yote, bikra sio kigezo kabisa
Ss kwani mwanzoni nlisemaje unachanganya mafileNaongelea kuongezeka kisa wanaume wengi sio kuzaa elewa bac
Sa itakuwaje 🤔?Bado ndoo semister ya pili inaanza...
Na hapo kati ya 11 kabeba 7
😂😂😂😂😂😂😂😂
Ngoja kwanza mkeka utoke ana below 1.8 atajua which is which....Sa itakuwaje 🤔?
Anaoa Mwanamke Au Bikra, Zingine zinatolewagwa na Baiskeli Wakiendesha, Kufanya mazoezi Magumu, Acha Hizo Pata Jiko alafu huyo demu Kakuzuga tu alikuwa Anampa mtu mwingine kwa mwaka mzima kamuona hana Future akaamua akupe wewe, STUKAAKama mada inavosomeka hapo juu jamaa angu ana mtu wake kwenye mahusiano huyo binti alimuamisha jamaa kwamba ni Bikira Kwa 100%, lakini alichokuja kugundua Jana baada ya Sex Hakukuta kitu(hamna dalili ya utando wa damu kutoka) kama ilivokawaida(na hiyo sex hadi kupewa amesotea mwaka Sasa)
Sasa hakutaka kumuoji sana mwenzie, alikausha kibabe.
ila amekuja kwangu kuomba ushauri juu ya hilo jambo,
Lakini mimi nachojua ni kwamba Bikira lazima damu itoke(Kwa ninavojua Mimi-kwa experience zangu mbili.) Hivo sijamjbu nimemwambia anipe muda nitamjibu.
Note: Walipanga kuishi wote Kwa kigezo hicho Cha Bikira
Swali: Kuna Bikira kavu kavu ya maji bila damu(sababu zake n zipi?!)
Kama haipo atemane nae au amwache?!
Mnisaidie majibu nimwelekeze mwananetu.
Huyo jamaa unayemwita mwanetu ni kichaa... Dunia ya leo anatafuta kuoa mwanamke bikra?? amekosa kabisa kuzingatia vigezo vingine vya msingi? Huyo ni mushamba muraa,Kama mada inavosomeka hapo juu jamaa angu ana mtu wake kwenye mahusiano huyo binti alimuamisha jamaa kwamba ni Bikira Kwa 100%, lakini alichokuja kugundua Jana baada ya Sex Hakukuta kitu(hamna dalili ya utando wa damu kutoka) kama ilivokawaida(na hiyo sex hadi kupewa amesotea mwaka Sasa)
Sasa hakutaka kumuoji sana mwenzie, alikausha kibabe.
ila amekuja kwangu kuomba ushauri juu ya hilo jambo,
Lakini mimi nachojua ni kwamba Bikira lazima damu itoke(Kwa ninavojua Mimi-kwa experience zangu mbili.) Hivo sijamjbu nimemwambia anipe muda nitamjibu.
Note: Walipanga kuishi wote Kwa kigezo hicho Cha Bikira
Swali: Kuna Bikira kavu kavu ya maji bila damu(sababu zake n zipi?!)
Kama haipo atemane nae au amwache?!
Mnisaidie majibu nimwelekeze mwananetu.
Kweli TataHuyo jamaa unayemwita mwanetu ni kichaa... Dunia ya leo anatafuta kuoa mwanamke bikra?? amekosa kabisa kuzingatia vigezo vingine vya msingi? Huyo ni mushamba muraa,
UhakikaKuna wanawake hutumia hiyo mbinu ya ubikra, ili wale hela yako kiulaini. Huo ni wizi.
Umeitoboa Tena likawa bwawa kivipiBikra ni ujinga tu ukiendekeza,nilitoboa mara mbili nikaona ni upuuzi tu.
Kula shimo tu bwawa la hombolo sawa,pango la amboni twende kazi.
Mapenzi mpende mamaako tu
Umewezaje kuoa wakati akili zako hazijakomaa ?Syo Mimi mm nmeoa kabsa na Mke at nmetoa ukuryani ukoo