Naomba ushauri: Alijua ni bikira lakini alipojaribu hakukuta kitu

Naomba ushauri: Alijua ni bikira lakini alipojaribu hakukuta kitu

Uhak
Wao wanawake huwa wana standards za wanaume wanaotaka labda awe na kibunda ana kazi nzuri n.k

Na kama haujakidhi hivyo vigezo mwanamke huwa hana huruma anakupiga chini

Ndivyo jamaa naye kaweka standard anataka mwanamke bikira afanye naye maisha

Kama sio bikira naye ampige chini malaya huyo

The game is brutal, but still fair!
Uhakika mm ntamwmbia Achukue hatua mwenyewe
 
Kama mada inavosomeka hapo juu jamaa angu ana mtu wake kwenye mahusiano huyo binti alimuamisha jamaa kwamba ni Bikira Kwa 100%, lakini alichokuja kugundua Jana baada ya Sex Hakukuta kitu(hamna dalili ya utando wa damu kutoka) kama ilivokawaida(na hiyo sex hadi kupewa amesotea mwaka Sasa)

Sasa hakutaka kumuoji sana mwenzie, alikausha kibabe.

ila amekuja kwangu kuomba ushauri juu ya hilo jambo,

Lakini mimi nachojua ni kwamba Bikira lazima damu itoke(Kwa ninavojua Mimi-kwa experience zangu mbili.) Hivo sijamjbu nimemwambia anipe muda nitamjibu.

Note: Walipanga kuishi wote Kwa kigezo hicho Cha Bikira

Swali: Kuna Bikira kavu kavu ya maji bila damu(sababu zake n zipi?!)
Kama haipo atemane nae au amwache?!

Mnisaidie majibu nimwelekeze mwananetu.
Anaoa Mwanamke Au Bikra, Zingine zinatolewagwa na Baiskeli Wakiendesha, Kufanya mazoezi Magumu, Acha Hizo Pata Jiko alafu huyo demu Kakuzuga tu alikuwa Anampa mtu mwingine kwa mwaka mzima kamuona hana Future akaamua akupe wewe, STUKAA
 
Kama mada inavosomeka hapo juu jamaa angu ana mtu wake kwenye mahusiano huyo binti alimuamisha jamaa kwamba ni Bikira Kwa 100%, lakini alichokuja kugundua Jana baada ya Sex Hakukuta kitu(hamna dalili ya utando wa damu kutoka) kama ilivokawaida(na hiyo sex hadi kupewa amesotea mwaka Sasa)

Sasa hakutaka kumuoji sana mwenzie, alikausha kibabe.

ila amekuja kwangu kuomba ushauri juu ya hilo jambo,

Lakini mimi nachojua ni kwamba Bikira lazima damu itoke(Kwa ninavojua Mimi-kwa experience zangu mbili.) Hivo sijamjbu nimemwambia anipe muda nitamjibu.

Note: Walipanga kuishi wote Kwa kigezo hicho Cha Bikira

Swali: Kuna Bikira kavu kavu ya maji bila damu(sababu zake n zipi?!)
Kama haipo atemane nae au amwache?!

Mnisaidie majibu nimwelekeze mwananetu.
Huyo jamaa unayemwita mwanetu ni kichaa... Dunia ya leo anatafuta kuoa mwanamke bikra?? amekosa kabisa kuzingatia vigezo vingine vya msingi? Huyo ni mushamba muraa,
 
Bikra ni ujinga tu ukiendekeza,nilitoboa mara mbili nikaona ni upuuzi tu.
Kula shimo tu bwawa la hombolo sawa,pango la amboni twende kazi.
Mapenzi mpende mamaako tu
 
Back
Top Bottom