Kwanza likatie bima comprehensive kisha angalia kama tyres ziko vizuri ifanyie services na kuangalia kama ina tatizo lolote urekebishe pia ukiona toto nzuri zimekaa stendi unasimama unawaita kuwapa lift ili kubariki gari
Hivyo ndio vitu vya kuanza navyo sio kila siku wanapanda washikaji zako tu mpk gari linanuka pu.mbu. Beba totozi gari ipate baraka
Kupiga nalo pichaHabari ndugu zangu, naomba ushauri kwa vitu vya kuzingatia unaponunua gari mpya kwa mara ya kwanza, yaani umeenda kununua showroom au umeagizia kutoka Japan na ndo limefika. Nini cha kuzingatia kabla na baada ya kukabidhiwa gari??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye technical issues ndo nilikuwaga najiuliza, hivi hakuna kuletewa gari bovu? Au kwa kuwa wenzetu hawapendi ubabaishaji? mana gari unaliona na kusoma specifications zake kwenye mtandao then haujui hata kama injini ni nzima au la!Hakikisha document unazopewa ni za gari husika, physical appearance(na vifaa vyake vyote vinavyoonekana kwa urahisi) vinafanana na ile uliyokuwa umeichagua (kama uliagiza)? kwenye technical issues mara nyingi kama umeiagiza huwa iko vizuri kwani hufanyiwa service kabla ya kukuletea. Mengine wataongezea wataalamu.
Hapo kwenye technical issues ndo nilikuwaga najiuliza, hivi hakuna kuletewa gari bovu? Au kwa kuwa wenzetu hawapendi ubabaishaji? mana gari unaliona na kusoma specifications zake kwenye mtandao then haujui hata kama injini ni nzima au la!
Basi hapo hao Wajapani wana huruma na pesa ya mtu aliyejichanga muda mrefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenzetu wanafanya biashara ya ukweli, wanajitahidi sana kuwa wakweli na waaminifu.
Unakagua maji/coolant kila siku?Don't drink and drive, hakikisha unakagua maji kila siku (likiwa jipya linakuwa na coolant), usivushe muda wa service, hakikisha mafuta taa haiwaki.
Usivutie sigara kwenye gari.
Usiazime gari, endesha wewe mwenyewe.
NB: Service ukifanya kwa mtu mmoja inakuwa safi, unatumia oil ya aina moja tu.
Kata comprehensive insurance, hasa hasa kwa hii miaka 2 ya mwanzo ya wewe kununua gari.
Ukitekeleza hayo gari litadumu.
Mkuu nieleweshe kidogo hapo kwenye condition ya 4.5, umeniacha.Niliwahi kuagiza gari lilikuja na condition moja nzuri mpaka nikatamani kumwongezea hela jamaa.
Wanajitahidi sana, ukibahatisha ambalo lina condition ya 4.5 linakuwa zuri balaa.
Mkuu nieleweshe kidogo hapo kwenye condition ya 4.5, umeniacha.
Ok, nimekuelewa kiongozi.Back then Tradecarview na Autorec walikuwa wana rating ya condition ya gari.
5 ni mpya, kwa hiyo inashuka 4.5, 4.0 nk.
Ok, nimekuelewa kiongozi.