Naomba ushauri baada ya kununua gari

Naomba ushauri baada ya kununua gari

Jaman af tuwe serious katika kutoa comments, kama kitu unajua toa maoni yako kwa uzoefu au kwa kusikia ila masihara yakiwa mengi mnayumbisha ... !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza likatie bima comprehensive kisha angalia kama tyres ziko vizuri ifanyie services na kuangalia kama ina tatizo lolote urekebishe pia ukiona toto nzuri zimekaa stendi unasimama unawaita kuwapa lift ili kubariki gari
Ha ha ha ha ha
 
Huu uzi hautuhusu sisi ambao hatuna magari...[emoji17]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Mkuu utamiliki tu, gari si anasa ni basic na bei zake kwa sasa hazitishi,utofauti ni unamiliki gari ya aina gani,kuanzia mil 3+ unanunua used tz ni wewe tu.
 
Mkuu utamiliki tu, gari si anasa ni basic na bei zake kwa sasa hazitishi,utofauti ni unamiliki gari ya aina gani,kuanzia mil 3+ unanunua used tz ni wewe tu.
Mkuu, ebu nitafute kama hii..[emoji30][emoji30]
tapatalk_1521144929388.jpeg
 
Mkimaliza kumueleza Jamaa,mrudi kwangu hapa nikitaka kununua baskeli nizingatie vitu gani....
 
Habari ndugu zangu, naomba ushauri kwa vitu vya kuzingatia unaponunua gari mpya kwa mara ya kwanza, yaani umeenda kununua showroom au umeagizia kutoka Japan na ndo limefika. Nini cha kuzingatia kabla na baada ya kukabidhiwa gari??

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilishaanza kutype jinsi ya ku break the engine, ndio nikagundua kumbe unamaanisha gari used. Na sio gari jipya
 
Kwanza likatie bima comprehensive kisha angalia kama tyres ziko vizuri ifanyie services na kuangalia kama ina tatizo lolote urekebishe pia ukiona toto nzuri zimekaa stendi unasimama unawaita kuwapa lift ili kubariki gari
Anunue na kondom za akiba manake mademu wote waliokua wanamzingua atawatafuna saizi manake wanajileta wenyewe
 
Back
Top Bottom