Naomba ushauri baada ya kununua gari

Naomba ushauri baada ya kununua gari

Ukilitia mkononi nenda nalo mtaa wa lumumba pale waambie wakupigie ribiti na vi urembo urembo ukitoka hapo nenda kwa diki sound magomeni akakufungie mziki wa nguvu na rim kali baada ya hapo piga full tank uanze kwenda viwanja kula bata kuanzia tabata,sinza,mbezi beach mpaka goba ni wewe tu
 
Back
Top Bottom