Naomba ushauri baada ya kununua gari

Jaman af tuwe serious katika kutoa comments, kama kitu unajua toa maoni yako kwa uzoefu au kwa kusikia ila masihara yakiwa mengi mnayumbisha ... !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza likatie bima comprehensive kisha angalia kama tyres ziko vizuri ifanyie services na kuangalia kama ina tatizo lolote urekebishe pia ukiona toto nzuri zimekaa stendi unasimama unawaita kuwapa lift ili kubariki gari
Ha ha ha ha ha
 
Huu uzi hautuhusu sisi ambao hatuna magari...[emoji17]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Mkuu utamiliki tu, gari si anasa ni basic na bei zake kwa sasa hazitishi,utofauti ni unamiliki gari ya aina gani,kuanzia mil 3+ unanunua used tz ni wewe tu.
 
Mkimaliza kumueleza Jamaa,mrudi kwangu hapa nikitaka kununua baskeli nizingatie vitu gani....
 
Nilishaanza kutype jinsi ya ku break the engine, ndio nikagundua kumbe unamaanisha gari used. Na sio gari jipya
 
Kwanza likatie bima comprehensive kisha angalia kama tyres ziko vizuri ifanyie services na kuangalia kama ina tatizo lolote urekebishe pia ukiona toto nzuri zimekaa stendi unasimama unawaita kuwapa lift ili kubariki gari
Anunue na kondom za akiba manake mademu wote waliokua wanamzingua atawatafuna saizi manake wanajileta wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…