Naomba Ushauri: Brand ya Subwoofer nzuri ni ipi? Nina bajeti ya 200,000/=

Naomba Ushauri: Brand ya Subwoofer nzuri ni ipi? Nina bajeti ya 200,000/=

Napendelea hasa yenye Bluetooth, radio, na ports za kuchomeka flash etc
Wapige 0658184797
PhotoGrid_1525039217023.jpg
PhotoGrid_1524262046378.jpg
PhotoGrid_1521222827712.jpg
 
SUB WOOFER ni sehemu ya mziki

Woofer(Hometheatre) ndio mziki kamili uliopangiliwa na kukufanya usikie mziki uliochakatwa

Kwa uelewa wangu mimi niliyekimbia shule kwa sababu ya kuchelewa namba
Woofer ni aina ya speaker katika mfumo wa muziki inayozalisha mlio wa bass. Subwoofer ni ndogo yake ambapo pamoja na tweeters na ile mashine ndio vina jumuisha home theatre au entertainment unit.

Kwa hiyo ukisema unataka kununua subwoofer unamaanisha kununua speaker ya bass.
 
Mkuu tafuta sea piano yenye watts za kutosha. Hao wanaokushauri kununua home theater za Sony labda ununue kwa mtu na obviously itakua ni ile yenye 500W ambayo haina muziki mkali kivile.
Acha uchawi mzee yaani home theater ya 500 watts isiwe na mziki mnene? Ww ulishawahi kuona subwoofer ya kichina ikafika hata 200 RMS watts?? Maana mm nimeina kubwa ina watts 180

Na namuhakikishia jamaa kama anapesa anunue home theater Tz140 yenye 300 watts hatojuta inapiga mziki balaaa pia amekuwa amepata na deki pia anaweza access contents za USB pia anakuwa ameenda na wakati kwa kutumia vitu classic.

Na kama jamaa atakuwa anapenda entertainment basi ata enjoy pure surround ya 5.1 DTS au Dolby muvies kitu ambacho ni kitamu sana kupindukia ambacho watu wengi hawajuagi
 
Back
Top Bottom