Acha uchawi mzee yaani home theater ya 500 watts isiwe na mziki mnene? Ww ulishawahi kuona subwoofer ya kichina ikafika hata 200 RMS watts?? Maana mm nimeina kubwa ina watts 180
Na namuhakikishia jamaa kama anapesa anunue home theater Tz140 yenye 300 watts hatojuta inapiga mziki balaaa pia amekuwa amepata na deki pia anaweza access contents za USB pia anakuwa ameenda na wakati kwa kutumia vitu classic.
Na kama jamaa atakuwa anapenda entertainment basi ata enjoy pure surround ya 5.1 DTS au Dolby muvies kitu ambacho ni kitamu sana kupindukia ambacho watu wengi hawajuagi