Naomba Ushauri: Brand ya Subwoofer nzuri ni ipi? Nina bajeti ya 200,000/=

Naomba Ushauri: Brand ya Subwoofer nzuri ni ipi? Nina bajeti ya 200,000/=

Ni muda kidogo nyuzi imepita hebu shaurini je sony kwa sasa tukiandaa bei gan tunaoata radio wengine ni wapenz sana wa radio
 
Ukiwa na bajeti kubwa nunua hata sonny mpya hata kwa mtu..utainjoy sana!

Mimi niliuziwa na mtu kwa laki tatu, inapiga mzigo balaa...ina sehem ya flash, ina fm radio, cd plate 3 na unaweza rekodi mp3 kwenye flash
Kabisa
 
Back
Top Bottom