resonanceiduufu
Senior Member
- Jul 29, 2016
- 112
- 62
Gonga hii fone namba kwa mambo hayo 0715711919 utapata tiba ya uhitaji wakoNapendelea hasa yenye Bluetooth, radio, na ports za kuchomeka flash etc
Wapige 0658184797Napendelea hasa yenye Bluetooth, radio, na ports za kuchomeka flash etc
Mkuu tafuta sea piano yenye watts za kutosha. Hao wanaokushauri kununua home theater za Sony labda ununue kwa mtu na obviously itakua ni ile yenye 500W ambayo haina muziki mkali kivile.Napendelea hasa yenye Bluetooth, radio, na ports za kuchomeka flash etc
SOnyNapendelea hasa yenye Bluetooth, radio, na ports za kuchomeka flash etc
SUB WOOFER ni sehemu ya mzikiNi SUBWOOFER au HOMETHEATRE?
Kuna tofauti kati ya vitu hivyo
Woofer ni aina ya speaker katika mfumo wa muziki inayozalisha mlio wa bass. Subwoofer ni ndogo yake ambapo pamoja na tweeters na ile mashine ndio vina jumuisha home theatre au entertainment unit.SUB WOOFER ni sehemu ya mziki
Woofer(Hometheatre) ndio mziki kamili uliopangiliwa na kukufanya usikie mziki uliochakatwa
Kwa uelewa wangu mimi niliyekimbia shule kwa sababu ya kuchelewa namba
Acha uchawi mzee yaani home theater ya 500 watts isiwe na mziki mnene? Ww ulishawahi kuona subwoofer ya kichina ikafika hata 200 RMS watts?? Maana mm nimeina kubwa ina watts 180Mkuu tafuta sea piano yenye watts za kutosha. Hao wanaokushauri kununua home theater za Sony labda ununue kwa mtu na obviously itakua ni ile yenye 500W ambayo haina muziki mkali kivile.