Naomba Ushauri: Gari gani linamfaa mstaafu.


Asante kwa Ushauri, Nitawasilisha.
 
Asante kwa ushauri mkuu.
 
Huyu alitakiwa kupata Spacio
 
Nunua hii
Hizi sidhani kama kuna makampuni ya Japan yanayouza used cars ambayo bado wanazo,labda kama atanunua ya mkononi ambayo obvious itakuwa imechoka sana...
 
YANI HAPO MWALIM GAR YA 18M NA SIO YA BIASHARA? WASTAAFU BWANA.
KAMA YA KUTEMBELEA TU
MTAFUTIE TOYOTA SPACIO XG EDITION, 1NZ ENGINE NDIO ITAMFAA MAFUTA NA SPEA BEI RAHISI. BUDGET KAMA MILION 11 AKIENDA YARD.

KAMA ATAAMUA KUFUGA KUKU NA SHUGHULI ZINGINE ATAFUTE PICKUP KIRIKUU
HAYA MAGARI YA STAREHE HAYAONGEZ KIPATO LABDA IWE UBAR.
 
Hii ndyo JF,watu wanakushauri vzr sana hadi raha!
 
Nimecheka "hadi mbuzi"
 
Hatujajua Mazingira aliyopo ni Town au Bush na Matumizi yake sana sana ila naunga mkono Rav 4
Mkuu kuna uzi wa uchambuzi wa biashara ya uber uliwahi kufanya kipindi cha nyuma. Kuna updates
 
Mnunulie IST. Hii kwanza kwa mafuta ni iconome. Pili utabakiwa na change. Dukani 12m. Tatu service zake haziumizi kichwa kabisa,ni gharama ndogo. Kama unataka ya juu,basi Rav 4 old model,engine 3s,ni engine ngumu sana hiyo. Nayo sevice zake ni za kawaida,mafuta itakuwa juu kidogo ya IST
 
Aise brother una dharau wewe ...

Ina maana mwalimu hana hadhi ya kuendesha gari la 18 M....

Miaka yote ambayo ameitumikia serikali kama alishasomesha watoto wake wote, ameshajenga nyumba zake, ana miradi yake, akinunua gari hata m 30 tatizo liko wapi..?
 
Samahani, mstaafu wetu amewekeza miradi isiyotegemea nguvu/uwepo waake kumpatia kipato cha kutosha kujikimu kwa Muda wote atakaokaa bila kufanya kazi?
 
Naunga mkono hoja.
 


Mkuu haujui maisha yake, unajuaje kama anabiashara nyingine? Au watoto wake wanakipato kiasi gani? Au yeye akistaafu atakuwa anaingiza sh ngapi?, Au unajua pensheni yake ni sh ngap?.
 
kwani lazima anunue gari?

Unajua gari ni bora kuwa nalo na lisiitajike kuliko kuliitaji na lisiwepo. Kuna muda dada yangu alikuwa anajifungua usiku tukakosa usafiri hapo ndipo utaona faida ya kuwa na usafiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…