MKIBAIGWAsharkss
JF-Expert Member
- May 25, 2017
- 572
- 1,331
Hizo mbona chache sana, chukua gari hiyo, km sio iahu, angalia.mambo mengine. Mm nina gari niliinunua ikiwa na 210,000 km 7 yrs ago, leo ina 480,000km na inapiga safari kama kawaidai na engine sijawahi kuiguza
Oya unainunia wapi?
kama Japan unapigwa achana nayo.
Beforward zipo kibao $6,000/= na kilometa chache na unapata inspection sheet.
View attachment 2597424
View attachment 2597421
View attachment 2597422
Ubora unaujuaje? Weka auction sheet hapa tuone grade ya hizo gari. Kwa iyo bei ya $8000+ lazima iwe 4.5 kwenda juu na ndani na nje iwe B B otherwise unapigwa.Nanunua japan.Hata hio site yapo ya bei chee sema hii inabei kwasababu ya ubora wake.
Hio site ndo huwa naagiza gari zangu.
Zipo Vanguard hadi za $12000
Ubora unaujuaje? Weka auction sheet hapa tuone grade ya izo gari. Kwa iyo bei ya $8000+ lazima iwe 4.5 kwenda juu na ndani na nje iwe B B otherwise unapigwa.
Tunashukuru kwa ushauri Mkuu. Unaweza tutajia walau sehemu 5 za kununua kutokana na uzoefu wako? Inaweza kuwafungua watu akili maana BF ni kama imetuloga.Nasisitiza usinunue gari befoward zipo very overpriced harafu exchange rate zao ziko juu sana ukienda CRDB (from my experience)
View attachment 2599496
Kuna gari mpaka zina Km Milioni 7 na point,
BF Hawako serious, kuna kitu nadhani hakiko sawa.
Ingia kwenye website sort by Milleage high to low
Angalia maajabu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tunashukuru kwa ushauri Mkuu. Unaweza tutajia walau sehemu 5 za kununua kutokana na uzoefu wako?Inaweza kuwafungua watu akili maana BF ni kama imetuloga.
Chukua chuma. Bora kilometres nyingi nje ya nchi.kuliko Tanzania.Kuna gari nimelipenda sana VANGUARD kwenye site flani,shida lina km nyingi (230,000) na bei yake imesimama $8400.
Naomba ushauriView attachment 2597323
View attachment 2597324
View attachment 2597325
View attachment 2597326
View attachment 2597327
View attachment 2597328
View attachment 2597329
Nazani typo error
Chukua chuma. Bora kilometres nyingi nje ya nchi.kuliko Tanzania.
Je hao SBI wana Ofisi zao Tanzania???Nakuelewa na najua sana hizo mambo kaka.
Hii site (sbimotor.com) ndo cheapest car site ,mfano kunagari niliagiza kwenye hii site kwa $2200 wakati beforwad ilikua $3100 hakuna site ambazo magari yapo overpriced kama beforward kwasababu wana jina tayari
Mfano wa pili hii gari niliomba wanitumie VIN ,walivyonitumia nione kwenye site zingine wanaliuzaje hili gari ( magari huwa yako listed site mbalimbali) ni kama nyumba za kupanga au viwanja.
Matokeo yake SBI ndo cheapest as usualView attachment 2598078
View attachment 2598079
View attachment 2598080
View attachment 2598081
Sbi bei ya mwisho waliniambia $7950.
Kuna gari nimelipenda sana VANGUARD kwenye site flani, shida lina km nyingi (230,000) na bei yake imesimama $8400.
Naomba ushauriView attachment 2597323
View attachment 2597324
View attachment 2597325
View attachment 2597326
View attachment 2597327
View attachment 2597328
View attachment 2597329