Naomba ushauri: Gari zuri ila lina KM nyingi

Naomba ushauri: Gari zuri ila lina KM nyingi

Saiti nzuri ni

Sbimotor.com

Realmotor.jp

Ukikosa humo gari ndo uende saiti zingine
Hao realmotors wanachonishangaza na kunipa mashaka hata website yao haiko protected utazani blog ya mswahili tu!

[emoji116]
Screenshot_2023-04-26-09-29-16-03_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Kuna gari nimelipenda sana VANGUARD kwenye site flani, shida lina km nyingi (230,000) na bei yake imesimama $8400.

Naomba ushauriView attachment 2597323
View attachment 2597324
View attachment 2597325
View attachment 2597326
View attachment 2597327
View attachment 2597328
View attachment 2597329
Mkuu km sio kipimo cha ubora wa gari, hizo km skuhizi Zinakuwa adjasted unakuta gari imetembea 200k kilometers, lakini ina adjustiwa mpaka 30k kilometers, we angalia body na engine Kama viko poa chukua chuma hicho ukavimbee town ....
Screenshot_20230425-223212.jpg
 
Wapo jengo jipya la Ushirika, mtaa wa Lumumba, DSM.

Zile siyo ofisi zao rasimi?
Ni Agent wao
Na ukiagizia pale Bei inakuwa juu kidogo tofauti na ukinegotiate mwenyewe Japan.
Huwa ukiagizia pale bei inakuwa juu
But unapata kuponi kama ya 200,000 kwa ajili ya service kwenye garage moja ya kijapani pale KAMATA.
So ni bora unegotiate online mwenyewe
Ila kama hupendi usumbufu watumie wale jamaa wa Ushirika tower maana hata clearance zote wanafanya wao.
 
Mkuu km sio kipimo cha ubora wa gari, hizo km skuhizi Zinakuwa adjasted unakuta gari imetembea 200k kilometers, lakini ina adjustiwa mpaka 30k kilometers, we angalia body na engine Kama viko poa chukua chuma hicho ukavimbee town ....View attachment 2600426

Labda wachakachue Japan,
Ila hapa bongo unamkamata vizuri tu,
Nikipata namba ya Chasisi ya gari mfumo wa Inspection wa IAA nitaona Km ilizoingia nazo bongo,
Nikifanya adjustment na matumizi yake nitajua TU
 
Hao realmotors wanachonishangaza na kunipa mashaka hata website yao haiko protected utazani blog ya mswahili tu!

[emoji116]View attachment 2599982

Kitakachokupa uhakika ni kuuliza kwa wengine walioagiza kwa hio site.

Mimi wakati naagiza gari yangu ya sasa tuliagiza pamoja na jamaangu yeye aliagiza realmotor.jp mimi niliagiza sbimotor.com.

Hao realmotor.jp wanauza magari hayari ukichelewa sikumoja utakuta halipo.wanamagari machachache sana lakini wanauza mno
 
Zile siyo ofisi zao rasimi?
Ni Agent wao
Na ukiagizia pale Bei inakuwa juu kidogo tofauti na ukinegotiate mwenyewe Japan.
Huwa ukiagizia pale bei inakuwa juu
But unapata kuponi kama ya 200,000 kwa ajili ya service kwenye garage moja ya kijapani pale KAMATA.
So ni bora unegotiate online mwenyewe
Ila kama hupendi usumbufu watumie wale jamaa wa Ushirika tower maana hata clearance zote wanafanya wao.

Hata mimi nashauri usiende kuagizia kwa mawakala wao.pae utaenda kuchukua coupon yako na document watakazokutumia
 
Kuna gari nimelipenda sana VANGUARD kwenye site flani, shida lina km nyingi (230,000) na bei yake imesimama $8400.

Naomba ushauriView attachment 2597323
View attachment 2597324
View attachment 2597325
View attachment 2597326
View attachment 2597327
View attachment 2597328
View attachment 2597329

Over

Siwezi nunua gari zaidia ya laki 1 km
 
Wauzaji wa magari tz asilmia kubwa wanachukua realmotor.jp kwasababu bei zao hakuna site itazishinda ni ndogo sana.

Wenyewe wanachojali ni volume
 
Mfano hawa Melona motors ,hii gari wameicrop kutoka realmotor.jp angalia logo ya realmotor nyuma ya hio subaru. Wameificha ila kama unajua logo wanazoweka mbele au nyuma ya magari kwenye site ya realmotor utagundua
IMG_2699.jpg
 
Heri ununue gari foreign yenye millage kubwa kuliko bongo yenye millage ndogo, mazingira ya barabara za nje si sawa na apa nchini, pia service wanazingatia sana
 
Mfano hawa Melona motors ,hii gari wameicrop kutoka realmotor.jp angalia logo ya realmotor nyuma ya hio subaru. Wameificha ila kama unajua logo wanazoweka mbele au nyuma ya magari kwenye site ya realmotor utagunduaView attachment 2600635

Hawa Trust cars wananunua wapi mbona bei zao zmekufa sana je ni singapore au?
IMG_1559.jpg
 
Back
Top Bottom