Hao realmotors wanachonishangaza na kunipa mashaka hata website yao haiko protected utazani blog ya mswahili tu!Saiti nzuri ni
Sbimotor.com
Realmotor.jp
Ukikosa humo gari ndo uende saiti zingine
[emoji116]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao realmotors wanachonishangaza na kunipa mashaka hata website yao haiko protected utazani blog ya mswahili tu!Saiti nzuri ni
Sbimotor.com
Realmotor.jp
Ukikosa humo gari ndo uende saiti zingine
Unafanyaje?Anachozungumza mtoa mada ni sahihi
Hakikisha gari unayonunua una cross-check site zingne
Ni last week tu kun gari nlikuwa naifatilia
Nkakuta SBI ilikuwa cheap kuliko Enhance-Auto
View attachment 2599972
View attachment 2599973
Wapo jengo jipya la Ushirika, mtaa wa Lumumba, DSM.Je hao SBI wana Ofisi zao Tanzania???
Beforward wana Ofisi zao Tz ndo maana wanunuaji wengi wa magari wananunua huko ili kuepuka kupigwa
Mkuu km sio kipimo cha ubora wa gari, hizo km skuhizi Zinakuwa adjasted unakuta gari imetembea 200k kilometers, lakini ina adjustiwa mpaka 30k kilometers, we angalia body na engine Kama viko poa chukua chuma hicho ukavimbee town ....Kuna gari nimelipenda sana VANGUARD kwenye site flani, shida lina km nyingi (230,000) na bei yake imesimama $8400.
Naomba ushauriView attachment 2597323
View attachment 2597324
View attachment 2597325
View attachment 2597326
View attachment 2597327
View attachment 2597328
View attachment 2597329
Wapo jengo jipya la Ushirika, mtaa wa Lumumba, DSM.
Mkuu km sio kipimo cha ubora wa gari, hizo km skuhizi Zinakuwa adjasted unakuta gari imetembea 200k kilometers, lakini ina adjustiwa mpaka 30k kilometers, we angalia body na engine Kama viko poa chukua chuma hicho ukavimbee town ....View attachment 2600426
Je hao SBI wana Ofisi zao Tanzania???
Beforward wana Ofisi zao Tz ndo maana wanunuaji wengi wa magari wananunua huko ili kuepuka kupigwa
Anachozungumza mtoa mada ni sahihi
Hakikisha gari unayonunua una cross-check site zingne
Ni last week tu kun gari nlikuwa naifatilia
Nkakuta SBI ilikuwa cheap kuliko Enhance-Auto
View attachment 2599972
View attachment 2599973
Hao realmotors wanachonishangaza na kunipa mashaka hata website yao haiko protected utazani blog ya mswahili tu!
[emoji116]View attachment 2599982
Zile siyo ofisi zao rasimi?
Ni Agent wao
Na ukiagizia pale Bei inakuwa juu kidogo tofauti na ukinegotiate mwenyewe Japan.
Huwa ukiagizia pale bei inakuwa juu
But unapata kuponi kama ya 200,000 kwa ajili ya service kwenye garage moja ya kijapani pale KAMATA.
So ni bora unegotiate online mwenyewe
Ila kama hupendi usumbufu watumie wale jamaa wa Ushirika tower maana hata clearance zote wanafanya wao.
Chukua chuma mfuko utaongea mbeleni
Kuna gari nimelipenda sana VANGUARD kwenye site flani, shida lina km nyingi (230,000) na bei yake imesimama $8400.
Naomba ushauriView attachment 2597323
View attachment 2597324
View attachment 2597325
View attachment 2597326
View attachment 2597327
View attachment 2597328
View attachment 2597329
Kuna gari nimelipenda sana VANGUARD kwenye site flani, shida lina km nyingi (230,000) na bei yake imesimama $8400.
Naomba ushauriView attachment 2597323
View attachment 2597324
View attachment 2597325
View attachment 2597326
View attachment 2597327
View attachment 2597328
View attachment 2597329
Mfano hawa Melona motors ,hii gari wameicrop kutoka realmotor.jp angalia logo ya realmotor nyuma ya hio subaru. Wameificha ila kama unajua logo wanazoweka mbele au nyuma ya magari kwenye site ya realmotor utagunduaView attachment 2600635