Naomba ushauri: Gari zuri ila lina KM nyingi

Naomba ushauri: Gari zuri ila lina KM nyingi

MKIBAIGWAsharkss

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2017
Posts
572
Reaction score
1,331
Kuna gari nimelipenda sana VANGUARD kwenye site flani, shida lina km nyingi (230,000) na bei yake imesimama $8400.

Naomba ushauri
IMG_2445.jpg

IMG_2444.jpg

IMG_2443.jpg

IMG_2439.jpg

IMG_2440.jpg

IMG_2441.jpg

IMG_2442.jpg
 
Hizo mbona chache sana, chukua gari hiyo, km sio iahu, angalia.mambo mengine. Mm nina gari niliinunua ikiwa na 210,000 km 7 yrs ago, leo ina 480,000km na inapiga safari kama kawaidai na engine sijawahi kuiguza

Ahsante boss
 
Nanunua japan.Hata hio site yapo ya bei chee sema hii inabei kwasababu ya ubora wake.

Hio site ndo huwa naagiza gari zangu.

Zipo Vanguard hadi za $12000
Ubora unaujuaje? Weka auction sheet hapa tuone grade ya hizo gari. Kwa iyo bei ya $8000+ lazima iwe 4.5 kwenda juu na ndani na nje iwe B B otherwise unapigwa.
 
Ubora unaujuaje? Weka auction sheet hapa tuone grade ya izo gari. Kwa iyo bei ya $8000+ lazima iwe 4.5 kwenda juu na ndani na nje iwe B B otherwise unapigwa.

Nakuelewa na najua sana hizo mambo kaka.

Hii site (sbimotor.com) ndo cheapest car site ,mfano kunagari niliagiza kwenye hii site kwa $2200 wakati beforwad ilikua $3100 hakuna site ambazo magari yapo overpriced kama beforward kwasababu wana jina tayari

Mfano wa pili hii gari niliomba wanitumie VIN ,walivyonitumia nione kwenye site zingine wanaliuzaje hili gari ( magari huwa yako listed site mbalimbali) ni kama nyumba za kupanga au viwanja.

Matokeo yake SBI ndo cheapest as usual
IMG_2654.jpg

IMG_2655.jpg

IMG_2656.jpg

IMG_2657.jpg

Sbi bei ya mwisho waliniambia $7950.
 
Nakuelewa na najua sana hizo mambo kaka.

Hii site (sbimotor.com) ndo cheapest car site ,mfano kunagari niliagiza kwenye hii site kwa $2200 wakati beforwad ilikua $3100 hakuna site ambazo magari yapo overpriced kama beforward kwasababu wana jina tayari

Mfano wa pili hii gari niliomba wanitumie VIN ,walivyonitumia nione kwenye site zingine wanaliuzaje hili gari ( magari huwa yako listed site mbalimbali) ni kama nyumba za kupanga au viwanja.

Matokeo yake SBI ndo cheapest as usualView attachment 2598078
View attachment 2598079
View attachment 2598080
View attachment 2598081
Sbi bei ya mwisho waliniambia $7950.
Je hao SBI wana Ofisi zao Tanzania???

Beforward wana Ofisi zao Tz ndo maana wanunuaji wengi wa magari wananunua huko ili kuepuka kupigwa
 
Kuna gari nimelipenda sana VANGUARD kwenye site flani, shida lina km nyingi (230,000) na bei yake imesimama $8400.

Naomba ushauriView attachment 2597323
View attachment 2597324
View attachment 2597325
View attachment 2597326
View attachment 2597327
View attachment 2597328
View attachment 2597329

Kama ni Genuine hizo chache sana kwa gari iliyokuwa maintained vizuri.

Kitu ambacho wengi hawajui gari iliyotembea km nyingi tafsiri yake ilikuwa maintained vizuri na haikusumbua previous owner

Mjapan hawezi tumia gari km zaidi ya laki kama gari linachangamoto lazima ataliuza tu.

Simamaanishi gari zenye km chache ni mbovu noo!

But whenever you find cheapest car with low mileage
Go ask yourself!! People once said cheap is expensive!
 
Anachozungumza mtoa mada ni sahihi

Hakikisha gari unayonunua una cross-check site zingne

Ni last week tu kun gari nlikuwa naifatilia

Nkakuta SBI ilikuwa cheap kuliko Enhance-Auto

IMG_1443.jpg

IMG_1442.jpg
 
Back
Top Bottom