Naomba ushauri: Gari zuri ila lina KM nyingi

Naomba ushauri: Gari zuri ila lina KM nyingi

Nasisitiza usinunue gari befoward zipo very overpriced halafu exchange rate zao ziko juu sana ukienda CRDB (from my experience)

Exchange rate inategemea na soko la USD $

Kwanini usitumie Paypal hakuna handling fee

I tried SBT wao wameconnect system yao direct na paypal
 
Zile siyo ofisi zao rasimi?
Ni Agent wao
Na ukiagizia pale Bei inakuwa juu kidogo tofauti na ukinegotiate mwenyewe Japan.
Huwa ukiagizia pale bei inakuwa juu
But unapata kuponi kama ya 200,000 kwa ajili ya service kwenye garage moja ya kijapani pale KAMATA.
So ni bora unegotiate online mwenyewe
Ila kama hupendi usumbufu watumie wale jamaa wa Ushirika tower maana hata clearance zote wanafanya wao.
Ni kweli.

Gari la kwanza niliagizia Beforward na nilitumia 3rd party clearing agent. Kulikuwa na usumbufu fulani. Ndinga ya pili nimeagizia Enhance Auto, nimewapa na kazi ya clearance. Wanatoa na guarantee ya mwezi mzima. Gari likizingua mechanically unalipeleka. Wao wanipigie tu nikachukue gari. Meli inafika June 4.
 
Back
Top Bottom