bandika banduaDuh watu mpo fasta
Ndugu yangu fuata huu ushauri ni fact...kuna mmoja yeye baada ya miezi miwili tu akapata mimba..lakini mwaka huu kajifungua salama....take full responsibility kama jamaa alivyo shauri ila don't abort.Ok, We Kidume Cha Mbegu..! Umemjaza Mimba nyingine Wakati Katoka kujifungua Karibuni.
Sikushauri uue kwa Kuitoa Mimba..Usijaribu abadan. Ila sasa take full responsibility onyesha uanamme wako Usikimbie tatizo ulilolisababisha wewe Mwenyewe.
Kama Ulikuwa hujamuoa! OA sasa weka ndani.Tafuta Wasaidizi wasaidie kulea Kichanga na Mama aendelee kulea Mimba soon Unakuwa na watoto wawili.
Hapo hata Sisi wanaume Wenzako Utakuwa hujatuangusha Kbs bali utakuwa umetujengea Heshima. Mambo ya kukimbia kimbia tuwaachie wavulana..!! Uanaume sio Kuisimamisha tu kama Marioooooooo! bali Majukumu Baba..
Ushauri wako unafaa uwape watu wanaoishu OBEY na Masaki, huyu yuko MAJI MATITU, Hizo fedha za kutosha za kutunza atapata wapi??Ushauri:
1. Mchukue huyo Girlfriend wako na Kachanga muende Hospitalini tena kwa wataalamu haswa (Jiandae Kisaikolojia kupokea Matusi, Aibu, Lawana na mengine yote).
Serikalini: Muhimbili National Hospital, Hospitali ya Mkoa au Wilaya.
Binafsi: Regency Hospital, Aga Khan & Kairuki na nyingine zenye Majina Makubwa.
2. Hakikisha Familia yako wote watatu mna Bima ya Afya. Hata kama ni Bima ya Kazini lakini Mama na Mtoto wakatie NHIF. (This is no. 1 priority and it's must)
3. Hakikisha hatoi Mimba na uwe nae karibu mara nyingi kwa kumtia Moyo na kum support; USIMLAUMU!
4. Tenga Fedha za kutosha kwa ajili yao kama unazo. Kama huna ANZA KUZIKUSANYA KWA BIDII maana wakati unakuja zitatumika na hazitatosha.
5. Zingatia kwa ukaribu Afya ya Kiakili ya Mama na Msosi mzuri (Balanced Diet) kwao wote.
"Ukichelea kulia mwana, utalia wewe."
Kwani OP amesema yuko wapi yeye mwenyewe!? Au wewe unamjua mwenzetu?Ushauri wako unafaa uwape watu wanaoishu OBEY na Masaki, huyu yuko MAJI MATITU, Hizo fedha za kutosha za kutunza atapata wapi??
Wabongo mnatoaga ushauri wa kipambavu bila hata kuangalia hali halisi ya maisha ya WaTZ.
Huyo ni mchepuko wangu mkuu. Ananijua vizuri wapi hua nampigia miti.Kwani OP amesema yuko wapi yeye mwenyewe!? Au wewe unamjua mwenzetu?
Pia mbona nimemshauri kuwa kama hana aanze au kuendelea kuzitafuta kwa bidii zaidi kuliko mwanzo au hujasoma?
Anyway, sio inshu. Ushauri ni wa bure.
😳😳.....!! Hivi hivi Unahalalisha 'MAUAJI' mkuu.itoe kabla haijawa kubwa mkuu
Dhambi ipi Mkuu,mtu nahesabika hai anapozaliwa sasa hivi ni Hatua za mwanzo kabisa, kwasababu akiilea kuna mawili aidha huyo wa kwanza adhoofike ama apotee kabisa😳😳.....!! Hivi hivi Unahalalisha 'MAUAJI' mkuu.
Hizi ni Miongoni Mwa Dhambi Za Kuepukwa Saaaaaana Wandugu..!!
Huyo ni mchepuko wangu mkuu. Ananijua vizuri wapi hua nampigia miti.