bado sijamtafuta fundi nilikuwa nafanya jitihada binafsi. Si unajua mafundi wetu akina Fundi Maiko.Fundi wako wa kupaua anasemaje?
Ukipata mbao ambazo zimezoeleka kwa jina la mlingoti utakuwa umefanya jambo la maana mno. Zenyewe haziwekwi dawa. Upate zilizokomaa na utazifuta kwa rangi yake kuwa nyekunyekundu hivi.habari za hapa kwa wataalam.
Ninampango wa kuezeka nyumba ya kuishi wiki ijayo. Mimi sina uzoefu sana ktk mambo ya building industry hasa roofing. nimepita hapa na pale kupelelez mbao zinazouzwa maeneo mbali mbali hapa Dar nimekutana na aina mbali mbali...
ahaa asante kwa maelekezo. na Bei yako sio kali sana?Ukipata mbao ambazo zimezoeleka kwa jina la mlingoti utakuwa umefanya jambo la maana mno. Zenyewe haziwekwi dawa. Upate zilizokomaa na utazifuta kwa rangi yake kuwa nyekunyekundu hivi. Hapo hautawahi kulia juu ya wadudu. Bati zitaisha, utaezeka tena bati huku mbao zako zikiwa vilevile. Mafundi wengi hawawezi kukuombea juu ya hilo ingawa wanazijua ubora wake kwani wanataka mbao laini.
lakini naona fundi hajatoa ushauriFundi huyo Hapo mtaalam kinguku hutojuta.
View attachment 1781767
View attachment 1781768
View attachment 1781769
View attachment 1781770
Bei inaendana tu. Iwapo kuna kuwa na tofauti basi ni kidogo mno. Kama Chanika kwa hapa Dar kuna sehemu unaweza kupata moja kwa elfu kumi. Sasa huo ubao mmoja unapotaka zile za kenchi wanachana katikati na hivyo unapata mbili.ahaa asante kwa maelekezo. na Bei yako sio kali sana?
inaonekana wewe tayari ni mzoefu nielekeze Fundi anapatikana wapi ni mfate maan aniko hapa hapa Dar Segerea.Bei inaendana tu. Iwapo kuna kuwa na tofauti basi ni kidogo mno. Kama Chanika kwa hapa Dar kuna sehemu unaweza kupata moja kwa elfu kumi. Sasa huo ubao mmoja unapotaka zile za kenchi wanachana katikati na hivyo unapata mbili...
Fundi anapatikana Chanika. Nitajitahidi Nikutumie namba yake baadae leo hii . Sijajua namna ya kumtumia mtu ujumbe inbox hapa jamii forum. Hakika utazifurahia hizo mbao pamoja na huduma ya huyo fundi.inaonekana wewe tayari ni mzoefu nielekeze Fundi anapatikana wapi ni mfate maan aniko hapa hapa Dar Segerea.
kwa kuwa ni fundi na ni mfanya biashara pia weka namba yake hapa ili na wahitaji wengine wanufaikeFundi anapatikana Chanika. Nitajitahidi Nikutumie namba yake baadae leo hii . Sijajua namna ya kumtumia mtu ujumbe inbox hapa jamii forum. Hakika utazifurahia hizo mbao pamoja na huduma ya huyo fundi. Ukiona namna alivyoezeka nyumba kwa ubora na kwa mvuto hata huwezi kuamini unafuu wa bei. Mimi alinihudumia kwa laki tisa wakati mafundi wote niliozungumza nao bei zao zilikuwa zinazidi milioni moja na laki tatu. Furaha niliyonayo napenda pia mtu mwingine aipate.
kwa kuwa ni fundi na ni mfanya biashara pia weka namba yake hapa ili na wahitaji wengine wanufaike
Sawasawa. Namba yake huyo fundi wa kuezeka ni 0717811850.kwa kuwa ni fundi na ni mfanya biashara pia weka namba yake hapa ili na wahitaji wengine wanufaike
Nashukuru sana kaka. Mungu akubarikiSawasawa. Namba yake huyo fundi wa kuezeka ni 0717811850.
Sawa. Natumaini utafurahia huduma.Nashukuru sana kaka. Mungu akubariki
i hope so!Sawa. Natumaini utafurahia huduma.
Huyu ni bonge la fundi namuona fb anajiita Muharam Kinguku yaan ni balaa kwa kazi zakeFundi huyo Hapo mtaalam kinguku hutojuta.
View attachment 1781767
View attachment 1781768
View attachment 1781769
View attachment 1781770
Wauzaji wa hizo mbao wanakuchania hapo hapo kwa mashine. Bei ya kuchana siyo kubwa. Umwone huyo fundi. Akupeleke hapo zinapouzwa ili uulize gharama hasa baada ya fundi kukukadiria mbao zinazohitajika katika boma lako. Ukishafanya tathmini ufanye maamuzi.i hope so!
sasa ndugu hizo mbao kuzipasua vipande vipande si gharama nyingine tena inabidi nilipoe ufundi? au muuzaji mwenyewe ananifanyia hivyo? nipe uzoefu wako