- Thread starter
- #21
Sawa Mkuu asante sanaWauzaji wa hizo mbao wanakuchania hapo hapo kwa mashine. Bei ya kuchana siyo kubwa. Umwone huyo fundi. Akupeleke hapo zinapouzwa ili uulize gharama hasa baada ya fundi kukukadiria mbao zinazohitajika katika boma lako. Ukishafanya tathmini ufanye maamuzi.