Naomba ushauri "huyu" mtoto aende wapi na akasome nini?

Naomba ushauri "huyu" mtoto aende wapi na akasome nini?

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,063
Reaction score
12,866
Habari waungwana.

Nina mtoto hapa ambaye matokeo yake ya Kidato cha nne ni Kama ifuatavyo.

Amepata "C" katika Civics, Kiswahili, Chemistry na Biology.

Amepata " D" katika History, Geography, Literature, English, physics na Hisabati.

Hivyo ana "C" nne na " D" sita.

Division three point 24.
 
VETA kutamsaidia, kuna kozi lukuki huko
 
ANA MIAKA MINGAPI? FORM FOUR HAJUI KUJIONGOZA KUJUA KUWA NATAKA KUSOMA NINI BAADAE? MMMH
Ana miaka 17 , anaweza akajiongoza lakin nmesema hawez kujiongoza vya kutosha.
 
Back
Top Bottom