HKG itapendeza sanaHabari waungwana.
Nina mtoto hapa ambaye matokeo yake ya Kidato cha nne ni Kama ifuatavyo...
ANA MIAKA MINGAPI? FORM FOUR HAJUI KUJIONGOZA KUJUA KUWA NATAKA KUSOMA NINI BAADAE? MMMHBado mdogo wa kuweza kutosha kujiongoza.
Akasome Kilimo au mifugo. Ingawa ajira Ni za foleni ila akija kupata basimuache akasomee anachopenda yeye usimpangie nashauri
Pamoja na kwamba una wajibu wa kumuongoza hapa na pale, nashauri pia umsikilize yeye anataka niniAna miaka 17 , anaweza akajiongoza lakin nmesema hawez kujiongoza vya kutosha.
Mwambie aangalie www.tzcodeacademy.comBado mdogo wa kuweza kutosha kujiongoza.