MC44
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 2,169
- 3,297
Kwan huna muda wa service mara kwa mara?Stori za vijiweni hizo. Uber ndo mpango mzima ila maumivu Yake utayapata siku ya kufanya service kubwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan huna muda wa service mara kwa mara?Stori za vijiweni hizo. Uber ndo mpango mzima ila maumivu Yake utayapata siku ya kufanya service kubwa.
Mimi kwa upande wangu niliwahi kuendesha Uber kwa miezi 6 kila ikifika 3,000kms naenda service baada ya miezi 6 nikaenda service, spare na kila kitu nikaletewa invoice 1.2m Hapo ndo niliaga mashindano maana faida yote ililipa gharama za kutengeneza gariKwan huna muda wa service mara kwa mara?
huyu jamaa kwani umemkosea nini mkuu
Kuwa Graduate haimaanishi umegraduate katika maisha.
Baba Richard anahitaji kujua experience kwa waliowahi kufanya hii biashara. Kwenda ofisini kwao haiwezi kumsaidia kupata anachokitaka .
Hebu jaribu kwenda ofisi za Forever Living uone watakavyokupamba, halafu njoo huku mtaani na hiyo biashara uone utakavyosaga soli.
kwani kakosea wapi hadi umjibu namna hiii? unahisi upo sawa na hili jibu?
Shukrani sana Mkuu. Hakika nitayafanyia kazi uliyoyaelezea hapa. [emoji120]Mm nimewah tumia bolt kama abiria, ni cheap sana baada ya kumaliza safar zangu nikapata kumuhoji dereva wa bolt, ilikuwa ni boda kuwa unapata faida? Alichonijibu ni kuwa hii kazi bro ni nzur kwa sababu si sawa na kukaa kijiweni na kusubir mteja, mfano mm nimekuleta hapa mbagala ww, hapa mm sirud mtupu, program inanitafutia abiria ambae anatoka mbgla hapa kwenda sehemu nyengine, kwa hyo kutwa nzima kazi ipo hvyo hadi inafikia hatua una log off ww mwenyewe, kwa sababu usipokuwa makini utakesha !! Kutwa nzima , nikamuuliza kuhusu malipo akasema mfano kwenye hii 18000 yao jamaa ni kama 1000 au 1500 , so nilichojifunza kutoka kwa yule dereva kutokana na maoni yake ni profitable business kwa upande wake!! Ndio hvy ndg
Pumba ya mwaka. Vijana mmekuaje siku hz hiv kwa nn usijiongeze ukajaribu mwenyewe mpaka uombe ushauri?
Shukrani kwa mchango mkuu, nitayafanyia kazi uliyoyaelezea hapa.Bolt ndio iko cheap zaidi na ina ofa sana kwa wateja na wengi wanatumia hiyo kuliko Uber, madereva wanazo hizi apps zote. Madereva wa Bolt wanaingiza hela nyingi kuliko wale wa vijiweni. Yani hujutii kuilipia, uzuri wake kuna siku unapiga kazi mpaka unaamua kupumzika.
Wapo watu anafanya kazi mchana, jioni anapiga Bolt mpaka saa tano usiku anarudisha kagari kake kazuri nyumbani anapumzika. Mmoja alinambia hela ya kula na bills zote nyumbani anaipata kwenye Bolt, mshahara wake haulishi familia hata siku moja.
Thank you for the insight bro, I appreciate [emoji120]Mimi kwa upande wangu niliwahi kuendesha Uber kwa miezi 6 kila ikifika 3,000kms naenda service baada ya miezi 6 nikaenda service, spare na kila kitu nikaletewa invoice 1.2m Hapo ndo niliaga mashindano maana faida yote ililipa gharama za kutengeneza gari
**Rating za abiria wa Uber nao pasua kichwa.
Utakuta na wewe unajiita Graduate kumbe kichwani empty set. Endelea kula kwa Shem
Hizi wenzetu mbele wanaaziita side hustle.Bolt ndio iko cheap zaidi na ina ofa sana kwa wateja na wengi wanatumia hiyo kuliko Uber, madereva wanazo hizi apps zote. Madereva wa Bolt wanaingiza hela nyingi kuliko wale wa vijiweni. Yani hujutii kuilipia, uzuri wake kuna siku unapiga kazi mpaka unaamua kupumzika.
Wapo watu anafanya kazi mchana, jioni anapiga Bolt mpaka saa tano usiku anarudisha kagari kake kazuri nyumbani anapumzika. Mmoja alinambia hela ya kula na bills zote nyumbani anaipata kwenye Bolt, mshahara wake haulishi familia hata siku moja.
Mkuu ilkuwa unaendesha gari aina gani, je lilikuwa la kutoka showroom/japan au kununua kwa mtu ?Mimi kwa upande wangu niliwahi kuendesha Uber kwa miezi 6 kila ikifika 3,000kms naenda service baada ya miezi 6 nikaenda service, spare na kila kitu nikaletewa invoice 1.2m Hapo ndo niliaga mashindano maana faida yote ililipa gharama za kutengeneza gari
**Rating za abiria wa Uber nao pasua kichwa.
Gari (IST) Ni yangu private. Ilikua na miezi 3 toka iingie from Japan. Uber/Bolt kwa Dar italipa ukiwa selective kama huendi Mabondeni na unaepuka foleni. Zaidi, Jitahidi kuwahudumia wateja Kama watoto wachanga kwa vijizawadi eg. Pipi, bubble gums wakupe rating nzuri.Mkuu ilkuwa unaendesha gari aina gani, je lilikuwa la kutoka showroom/japan au kununua kwa mtu ?
Asante kwa ushauri Mkuu [emoji120]@Baba Richard nikushauri kuhusu wanaokujibu vibaya
Usiwajibu nyamaza tu
Mkuu ukiondoa gharama za uendeshaji... faida kwa siku ni kama kiasi gani?Gari (IST) Ni yangu private. Ilikua na miezi 3 toka iingie from Japan. Uber/Bolt kwa Dar italipa ukiwa selective kama huendi Mabondeni na unaepuka foleni. Zaidi, Jitahidi kuwahudumia wateja Kama watoto wachanga kwa vijizawadi eg. Pipi, bubble gums wakupe rating nzuri.
NB: Bundle Bei juu jiandae kwa hilo
Mkuu ukiondoa gharama za uendeshaji... faida kwa siku ni kama kiasi gani?
Mtaji uwekezaji utachukua muda gani kurudi
It depends na trips na muda wako wa kufanya kazi mm nilikua nakomaa nalaza 70 per 12 hoursMkuu ukiondoa gharama za uendeshaji... faida kwa siku ni kama kiasi gani?
Mtaji uwekezaji utachukua muda gani kurudi
Shukrani kwa kutoa mwanga.. mkuu!It depends na trips na muda wako wa kufanya kazi mm nilikua nakomaa nalaza 70 per 12 hours